Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
View attachment 3328002
Bora GB ,yeye huyu Mollel ubongo wake una KB kabisa,ubinafisi unamsumbua huyu Mollel,Lissu yuko kupambania masrahi ya wengi ila huyu Mollel yuko kupambania tumbo lake kwa kumsifu mzanzibar licha ya kwamba huyo huyu mzanzibar anatugandamiza watanganyika
 
Wakuu

Mbona kama hasira zilo Karibu sana?

Kivipi mnachukulia kauli ya Mh Mollel Kwa hasira hivyo?
 
Your browser is not able to display this video.

Huyo ni comedian hapo ameamua kufurahisha hiyo media inayofadhiliwa na Lumumba.

Uzuri wenye akili timamu tunamjua nani ana uwezo mdogo kuliko mwenzake.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hali hiyo yeye ndiye poyoyo kabisa maana atakua na KB 2 tu maana kauli kama hizi hazizungumzwi na watu waungwana achilia mbali kuwa kiongozi.
 
Je wanaoua na kutesa wanaowakosoa ndio wenye roho nzuri?
 
Uaan
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye r

Huyu nae ni Waziri jamani??!!! Mnasubiri asimamie suala senstive kama Afya..muangalie hata anavyotoa jicho...hajui hata anachokisema anaendeshwa na tumbo lake tu ili mradi anatumia gari la umma na kuitwa Mheshimiwa lakini in all fairness ni aibu kubwa kuwa na mtu kama huyu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…