Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 454
- 635
Hahahaha,,, kwani mchanga hausafirishwi nje? kwani hatujalipa faini? kwani Magufuli hawajamla kichwa?Kipi kinachoendea? Bwana kutetea kibaraka wake Kuna au ajabu hapo?
Harafu hata kipindi Cha Jiwe walijadili hivyo hivyo Kuna jipya Chadomo na Lisu walipata?
Unasafirishwa kiharamu au kihalali?Hahahaha,,, kwani mchanga hausafirishwi nje? kwani hatujalipa faini? kwani Magufuli hawajamla kichwa?
😀😀Kama kweliNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Dr. Umehakiki hilo mahabara bila shaka,je ni wakati huu akiwa jela au akiwa na shida ya afya ya akili?Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Qummaar weweTOFAUTISHA WALIOKAA NAYE KWA KARIBU, NA NYIE MNAYE MSIKILIZA MAJUKWAANI, #TUNDU LISSU NI MNYAMA HANA, UTU HATA KIDOGO WALA SHUKURANI, POSIBLY NI MVUTA BANGEH.
Mfano ni mingi sana, ona gharama za shukurani alizomlipia Rais wetu!