Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Duh

===

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Kama Mshauri wake Mkuu Bwana Tabasamu Mnafiki ni Mjinga na hakuwahi na hatowahi kuwa na Akili kwanini na Wengineo nao wasiwe Wajinga Wajinga?
 
Kama Mshauri wake Mkuu Bwana Tabasamu Mnafiki ni Mjinga na hakuwahi na hatowahi kuwa na Akili kwanini na Wengineo nao wasiwe Wajinga Wajinga?
Nimechukua sekunde kadhaa kufikiri nimpate mr tabasamu. Kumbe ni matumizi mabaya ya fedha bila Mpango wowote wa kubana matumizi na hapo ndipo mtu hufa maskini. Ila wa-tz kwa kupeana majina hatujambo. Mtu ukinusurika na corona ya wakati ule, huwezi kujinunisha. Lazima ujae tabasamu. Maana unapata fahamu tu baada ya wiki mbili za kuteswa na cvd 19 unapewa list ya walioshindwa kuaga na wakaomba kwa kusema "niagieni" Aiseee! Acheni baba atabasamu. Hata kama akisahau kushauri maana wengi hatushauriki. Na kila mbuzi ale kwa urefu wa...
 
Mh. Rais Samia, fukuza huyu chizi, Dr. fake Mollel haraka kabisa, get him out of your government..

Piga chini haraka sana huyu chizi, asante sana
 
Yeye mwenyewe ni.....sijui nilitaka nimalizieje🐒

images (77).jpeg
 
Ila ukweli unaumiza.. hivi Rais akishauliwa lazima akubali kila kitu bila kujiongeza mwenyewe?
 
Yupo sahihi huyu mama ana roho nzuri sana ila amezungukwa na wajinga.Pamoja na kuwa na phd na udr ila hakuna la maana wanaloshauri
 
Kuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.

Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.

Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
FpKL8ABWcAANyqU.jpeg

Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.

Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.

Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.

Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
 
Back
Top Bottom