Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Awamu hii anayechagua na wanaochaguliwa akili zao zote sawa tu. Poleni sana.
 
Lakini na yeye pia ni mshauri kwa wadhifa alionao. !
Kuna washauri wa raisi hawa ndiyo wanapanga Nani atakuwa mkuu wa wilaya,mkurugenzi,mkoa na mambo mengine hata namna ya kuendesha nchi ni wao wapo..
Hawa mawaziri ni stamp Tu ni watu wa kutekeleza amri wanazopewa na washauri wa raisi, kwahiyo huyu jamaa alichosema ana uhakika nacho na anajua kinachoendelea Huko ndani
 
Hebu tujiulize kwanza mpaka anasema watanzania hawana akili amewaza nini, hebu tujiulize tena amefanya utafiti lini kuwa watanzania hawana akili huku akijua hata boss wake ni mtanzania tena mzalendo na Hiyo tafiti ina ubora gani? Mwisho wa siku ukijiuliza na maswali mengine ambayo sijayaandika hapa utagundua kuwa 1. Anakaribia kutumbuliwa japokuwa atarudi kuomba msamaha 2.alikuwa anajiongelea Mwenyewe
 
Duh

===

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Weka Video ya haya maneno......isije ikawa vita za madaraka hizo au kuhamisha ajenda ya Bilioni 7.5 za ukarabati wa MV Magogoni
 
Back
Top Bottom