MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kama Mshauri wake Mkuu Bwana Tabasamu Mnafiki ni Mjinga na hakuwahi na hatowahi kuwa na Akili kwanini na Wengineo nao wasiwe Wajinga Wajinga?Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Nimechukua sekunde kadhaa kufikiri nimpate mr tabasamu. Kumbe ni matumizi mabaya ya fedha bila Mpango wowote wa kubana matumizi na hapo ndipo mtu hufa maskini. Ila wa-tz kwa kupeana majina hatujambo. Mtu ukinusurika na corona ya wakati ule, huwezi kujinunisha. Lazima ujae tabasamu. Maana unapata fahamu tu baada ya wiki mbili za kuteswa na cvd 19 unapewa list ya walioshindwa kuaga na wakaomba kwa kusema "niagieni" Aiseee! Acheni baba atabasamu. Hata kama akisahau kushauri maana wengi hatushauriki. Na kila mbuzi ale kwa urefu wa...Kama Mshauri wake Mkuu Bwana Tabasamu Mnafiki ni Mjinga na hakuwahi na hatowahi kuwa na Akili kwanini na Wengineo nao wasiwe Wajinga Wajinga?
ma-naibu Waziri wote pia ni washauri wa Rais.Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Usiombe ukutane na mjinga asiyejijua kuwa ni mjinga.Bahati mbaya au nzuri wajinga huwa hawajijui kama wajinga.
Naibu Waziri haingii kikao cha Baraza la mawaziri wala hatakiwi kujua nini kinaendelea huko.Na yeye ni mshauri wa rais kwenye baraza la mawaziri. Anajijumuisha humo.
Wachaga watamfitini hadi anuke na ikiwezekana Jimbo lirudi kwa mchaga.Mfano wa watu wenye bahati zaidi duniani ni huyo jamaa kuwa kwenye nafasi kama hiyo ... yaani duuuuh
Wanamshaurije ilihali hawaingii ktk vikao vya Baraza la mawazirma-naibu Waziri wote pia ni washauri wa Rais.
Ni naibu waziri wa afya.Huyu bado ni waziri?
Watanzania........hasa mashabiki wa Simba