Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
✅🟢🟢🟢🟢🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Sasa kumekuchaaaaaa, Jogooo limewika Dodomaaaa, Kada wa CCM tumpe kura za ndioooooooooo..!!!

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Hongera sana Mh. Rais Samia, Mwenyekiti na Mgombea wetu wa Urais wa CCM, hongera sana Mh. Balozi Dr. Emanuel Nchimbi, kuwa mgombea mwenza wa Urais wa CCM

Jogoo limewika Dodomaaaa….!!! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏
 
Kwani Mange Kimambi hili analizungumziaje?
 
Waliokiandaa kumpinga Samia ndani ya CCM wamepigwa kata funua hawatakaa waisahau hii milele. Hakuna aliyetegemea kuwa hiki kikao kinaendankufanya maamuzi makubwa kama haya.
 
Mzee wa watu kaamua kutema bungo kaona bora akae pembeni kuliko kuendelea kushirikiana na watu wasiokuwa na utu hata chembe.
 
Hata kama ningekuwa Mimi ndiyo makamu ningekataa kabisa kuwa na hii serikali ovu.Inateka watu na kuwauwa mchana kweupe.mfano Ali kibao,sativa,mbise,soka n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…