Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Siempre siempre Jumbe Brown anasubiria umeme wa Stigler July 2022 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkandarasi wa miradi mikubwa kama hiyo anashinda tender kutokana na design yake ya mradi wote kuanzia physical project, ulinzi wa mazingira kama ecosystem, namna ya kuvuta maji and so forth with hydro power project scope.
Anakupa na costs zake za kujenga mradi, work break down structure ya wewe kuweza kufuatilia progress ya mradi kwa makubaliano ya muda wa kazi, etc.
Kazi yenyewe inafanywa na sub-contractors anachosimamia mkandarasi na ku coordinate hatua za kazi, kuangalia quality ya kazi, time, anapanga critical path ya mradi na other supervision roles.
Mtu kama makamu wa raisi awezi kwenda kwenye mradi kama huo bila ya mshauri wa maswala ya project management; hivi mbona tunaviongozi waropokaji halafu wepesi sana vichwani ukiwasikiliza.
Au anadhani huu sawa na miradi wa kujenga barabara. Yaani nchi inaviongozi wa ovyo kweli.
Mchina amewaaribu hawa watu akipewa mradi mkubwa anafanya kila mwenyewe aachi hujuzi kwa wengine.
So kwenye vichwa vyao contractor anatakiwa kufanya kila kitu watu wa ovyo kweli.
SketchingWhat does an architecture do?
Namuunga mkono Anthony Dialo, huyu jamaa alikuwa na ugonjwa wa akili
Situlii.Tulia wewe
Maji ya kuzalisha umeme au kupigia mswaki tu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dr.Mpango usituzingue. Tarehe 15/11/2021 tuone mnajaza maji humo ache usanii.
"Aswan Dam" imejengwa na haohao ARAB CONTRACTORS tena miaka ya 1960...... Serikali ya awamu ya 5 haikukosea......
Lakini nawaza pia bado kuna uwezekano baada ya JPM kufariki ndo wameanza kufanya huu upuuzi ili kumfanya jiwe aonekane alikua anatudanganya ili wao ndo waonekane bora zaidi wkt kuna uwezekano sio kweli.
Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo
1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila sehemu. Serikali labda ilitaka mkandarasi mkuu afanye kazi zote peke yake, lakini sehemu nyingi ameweka wachina
2. Mkandarasi yupo nyuma ya mpango kazi, na kwamba amechelewa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mafuriko na uvico19. Kauli ambayo Kalemani amekuwa akitudanganya kuwa tupo mbele ya muda na maji yataanza kujazwa Mwezi wa 11 tarehe 15, na kuwasha mitambo June 2022( KAULI AMBAYO NI DHAHIRI ALITUDANGANYA NA ILIKUWA YA KISIASA) Laini Makamu wa Rais ameongea ukweli.
Kutokana na Kauli ya Mh. Makamu wa Rais ni DHAHIRI kuwa Mradi huu hautaweza kukamilika 2022 Wala 2023 Wala 2024 labda 2025.
Arab contractor imeanzishwa kabla makamu hajazaliwa.. na kabla Tanzania haijazaliwa arab contractors ipo duniani.. na imejenga Aswan dam na mabwawa kibao.. ila leo tunaambiwa hawana uzoefu
Wamisri wakisikia kauli hizi za Mpango haitaleta picha nzuri
Situlii.
Mmeshaanza nyinyi mafisadi story zenu za upigaji.Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo
1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila sehemu. Serikali labda ilitaka mkandarasi mkuu afanye kazi zote peke yake, lakini sehemu nyingi ameweka wachina
2. Mkandarasi yupo nyuma ya mpango kazi, na kwamba amechelewa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mafuriko na uvico19. Kauli ambayo Kalemani amekuwa akitudanganya kuwa tupo mbele ya muda na maji yataanza kujazwa Mwezi wa 11 tarehe 15, na kuwasha mitambo June 2022( KAULI AMBAYO NI DHAHIRI ALITUDANGANYA NA ILIKUWA YA KISIASA) Laini Makamu wa Rais ameongea ukweli.
Kutokana na Kauli ya Mh. Makamu wa Rais ni DHAHIRI kuwa Mradi huu hautaweza kukamilika 2022 Wala 2023 Wala 2024 labda 2025.
Naona mmeshaanza mafisadi mnataka hizo kampuni zitolewe ili mchukue miradi hiyo nyinyi wapigaji. Mnajidanganya tu hamtafanikiwa.Yap wa sgr na huyu Arab contractor ni wakandarasi wa ten percent wa kundi la mwendazake
Usiwafuate hao mafisadi wanapotosha tu kwa manufaa yao.Mmmhhh..!! Mh. Mpango anasema mkandarasi hana uzoefu wa kutosha? Sasa alipewaje kazi? Kama ni sub-contractor na hana uzoefu wa kutosha, atajenga ktk viwango vya kimataifa kweli Bwawa letu la umeme? Au ndio mwanzo wa figisu?
Mpango si alikuwa waziri wa Fedha na alikuwa mstari wa mbele ktk ujenzi wa bwawa hili na bungeni alitetea sana, kama mkandarasi hana uzoefu kwa nafasi yake akiwa waziri wa fedha alishindwa nini kusema haya leo anayosema mapema?
Unadhani yeye alikuwa haogopi kuuawa. Watu wengi kipindi cha mwendazake walikuwa wanasema uongoMmmhhh..!! Mh. Mpango anasema mkandarasi hana uzoefu wa kutosha? Sasa alipewaje kazi? Kama ni sub-contractor na hana uzoefu wa kutosha, atajenga ktk viwango vya kimataifa kweli Bwawa letu la umeme? Au ndio mwanzo wa figisu?