Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Kuna miradi hii miwili serikali ya sasa haina ubavu wa kuimalizia. Bwawa la mwalimu Nyerere na SGR. Wataleta visingizio lukuki ukweli ni kwamba hawana ubavu wa kumalizia hivi ndo viatu vikubwa vya JPM haviwatoshi waendelee tu kuchoma hela kwa kuzunguka hewani na ziara zao za kuuza nchi
 
Unanifikirisha sana mkuu! Hivi Serikali zote uendeshwa hivi Duniani?
 
Màgufool hakuwa na elimu ya kutosha kwenye lile likichwa lake lenye uvimbe
 
Duh kumbe mkandarasi mwenyewe aliyeshinda tenda ni dalali nae anatafuta subcontractors
 
S
Sasa kama hawawezi kumalizia hii miradi wanatamani wagombee mwaka 2025 ili wafanye nini? Wakahudhurie Sherehe za kuzima Mwenge wa Uhuru?
 
Fitina za mafisadi team kikwete na mama samia z8meanza lengo ni kukwamusha huo mradi ili makampuni ya gesi walivyo tuibia na mkwere anamanufaa nayo waendelee kutupiga kifisadi ,sisi watz tunataka neno moja tu nwawa likamilike ndani ya wakati
 
Yap wa sgr na huyu Arab contractor ni wakandarasi wa ten percent wa kundi la mwendazake
Hata kama .... pasipo magufuli hata ndoto ya ujenzi wa hilo bwawa isingekuwepo ,tena pasipo magufuli tulikuwa tumesha pigwa na wachina kuhusu sgr ya mafuta kwa bei kubwa tena tunalipishwa huku sgr ikiwa ni mali yao kama kenya
 
Lengo la mafisadi wa ccm ni kukwamisha sgr ya umeme na ilo bwawa ili michongo ya kifisadi ya mkwere kuhusu gesi aliyo ingia mikataba ya kifisadi ifanikiwe
 
Reactions: Ame
Hivi watanzania wanaoumwa kuona Nchi yao inachezewa hivi wafanyeje? Mimi nilikuwa namkosoa sana Raisi Magufuli wakati mwingine kwa mambo ya Demokrasia lakini ni mtu niliyemuamini kwa dhati kwa jinsi alivyokuwa akiumia juu ya Nchi yake.
 
Hata kama .... pasipo magufuli hata ndoto ya ujenzi wa hilo bwawa isingekuwepo ,tena pasipo magufuli tulikuwa tumesha pigwa na wachina kuhusu sgr ya mafuta kwa bei kubwa tena tunalipishwa huku sgr ikiwa ni mali yao kama kenya
Kuwa na ndoto ndio excuse ya kuwanya na kuhalalisha ufisadi? Acha upumbavu kama ni ndoto alianza kuota Nyerere,Bwawa lingejengwa tuu na mtu mwingine na wakati mwingine aliyekwambia ilikuwa lazima lijengwe na Mwendazake nani?
 
Naona mmeshaanza mafisadi mnataka hizo kampuni zitolewe ili mchukue miradi hiyo nyinyi wapigaji. Mnajidanganya tu hamtafanikiwa.
Kama zilikouka utaratibu zitatolewa tuu na kama zilikuwa zinawapa ten percent jiandaeni kisaikolojia na Kazi za kufanya.
 
Umeona,halafu imagine huyo ndo wamanamuamini kwenye cabinet😂😂😂,nilimuona kwenye ile ziara anatoa maelekezo nikashangaa sana nikasema mbona huyu mtu mjinga sana
 
Kwa Nini 2025?
 
Hata Mimi nilikuwa nashangaa dah, wanasiasa wa Tanzania majanga,Kama Hana la kusema si Bora angenyamaza
 
Hata kama .... pasipo magufuli hata ndoto ya ujenzi wa hilo bwawa isingekuwepo ,tena pasipo magufuli tulikuwa tumesha pigwa na wachina kuhusu sgr ya mafuta kwa bei kubwa tena tunalipishwa huku sgr ikiwa ni mali yao kama kenya
Asante Mungu kwa kutuondolea JIWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…