platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Kweli hata mimi hilo limenishangaza. Yaani ujenge kastendi kadogo halafu baada ya miaka mitano ipangwe mipango ya kujenga stendi nyingine!Hivi ukilaumu ujenzi wa stand kubwa kama ile ya Dodoma ina maana utapinga pia ujenzi wa barabra ya njia 6 kule Dar,maana hesabu ya ujenzi wake inapigia miaka takribani 20 au 30 mbele,AU hata ile aiport terminal 3 kule Dar mbona bado sehemu kubwa tu haijaweza kutumika,ni kwa sababu ya hesabu za mbali,ni kweli tunalaumu sasa hivi lakini manufaa yake tutayaona baadaye sana......
Ukifanya tathmini utagundua idadi ya abiria imeongezeka na route pia. Miaka saba iliyopita nilipofika Dodoma kulikuwa hakuna route ya Dom to Musoma, Dom to Tarime, Dom to Bukoba. Lakini kwa sasa idadi ya route imeongezeka sana hence idadi ya mabasi kuongezeka. Kiongozi hatakiwi kulaumu tu, anatakiwa kutoa na solution