Dkt. Msukuma amkosoa Godwin Kunambi kwa kujenga hoteli na Soko la Ndugai, miradi ya hasara tupu!

Kweli hata mimi hilo limenishangaza. Yaani ujenge kastendi kadogo halafu baada ya miaka mitano ipangwe mipango ya kujenga stendi nyingine!

Ukifanya tathmini utagundua idadi ya abiria imeongezeka na route pia. Miaka saba iliyopita nilipofika Dodoma kulikuwa hakuna route ya Dom to Musoma, Dom to Tarime, Dom to Bukoba. Lakini kwa sasa idadi ya route imeongezeka sana hence idadi ya mabasi kuongezeka. Kiongozi hatakiwi kulaumu tu, anatakiwa kutoa na solution
 
Maneno yako kweli zamani airport ya zamani ukifika mnajiona kama mko wengi lakini leo hii ukitua Terminal 3 kuna ukimya mkubwa utasema hakuna ndege lakini nadhani ukubwa wake unakufanya uhisi hivyo ila ni vizuri kuwa na kitu kikubwa kuliko kubanana.
 
Hatizo la wabongo wengi wanawaza kesho tu kichwani hamna kitu! Kweli kuna baadh ya miradi inakosewa kuwekwa kwenye maeneo yanayozalisha kidogo ila issue ya stendi ya dodoma sioni kama kuna shida yeyote maana mji unakua kwa kasi!
 
Unalinganisha upanukani wa Dsm na Dodoma?
Ni miaka 5 toka Serikali ihamie huko ila upanukaji wa mji ni mdogo mno
Ukuaji wa Miji huwa haulingani. Ila Dodoma inakuwa, halafu mind you Dodoma ipo kati ya Nchi, kadri Nchi inavyokuwa na miji kukuwa basi na route zitaongezeka kuelekea huko.

Wakati inajengwa stendi ya Ubungo na mabasi kuhamishwa kutoka Kisutu, Watu walipiga kelele sana kuwa ni mbali na stendi ni kubwa bila sababu za msingi. Leo imezidiwa na kuhamishiwa Mbezi!

Mkuu ulitaka stendi ya ukubwa gani?
 
Maneno yako kweli zamani airport ya zamani ukifika mnajiona kama mko wengi lakini leo hii ukitua Terminal 3 kuna ukimya mkubwa utasema hakuna ndege lakini nadhani ukubwa wake unakufanya uhisi hivyo ila ni vizuri kuwa na kitu kikubwa kuliko kubanana.
Sababu kwa sasa Domestic hutumia Airport 2
International hutumia Airport 3
 
Dodoma inakuzwa tu ndo maana ukitoka hapo baada ya km 10 toka mjini unakutana na vumbi tu
 
King Msukuma
 
Kweli kuna haja wakurugenzi kufanya live interview irushe kupitia TBC wakati wa kuomba na kuchakatwa kwa ajili ya ajira zao.
Pia maafisa utawala wafanyiwe interview.

Hii itasaidia uwajibikaji
Wanasiasa hasa wa CCM ndio chanzo cha watu kutokukubali kuhojiwa hadharani. Kama viongozi wa CCM wanakwepa midahalo, nani atakubali wakati unaweza kupata cheo kwa mchongo?
 
We darasa la saba, nawe kapate udokta haraka!
 
Dodoma inakuzwa tu ndo maana ukitoka hapo baada ya km 10 toka mjini unakutana na vumbi tu
Usipinge tu! Kilomita kumi toka mjini kuelekea njia ya Morogoro unaingia stendi ya Mkoa, mbele yake kuna kambi ya Jeshi Ihumwa, kuna lami. Mbele ya hapo Mji wa serikali Mtumba (pazuri sana na kuna miundombinu safi kabisa), mbele ya Mtumba kuna hospitali ya Uhuru (mpya), mbele yake kuna njia panda ya kuelekea Ikulu ya Chamwino.

Ukipita njia ya Arusha, kilomita kumi kutoka Mjini kuna Chuo cha Mipango (lami), Kambi ya Jeshi Makutupora halafu barabara safi ya lami kuelekea Arusha.

Ukipita njia ya kuelekea Iringa barabara ya lami safi kabisa.

Lakini pia kuna ring road inajengwa, hii inazunguka nje ya Mji wa Dodoma. Lami ikikamilika viwanja vitaongezeka thamani na mji kukuwa. Pia itaondoa jam mjini kwa kuwa kwa sasa malori yanapita katikati ya Mji kuelekea Mikoa mingine.
 
Tuombe asitokee mtawala atakayetamani kurudi Dar
 
Ila ile stend ya dodoma daaah ni hasara labda itafaa miaka 100 ujayo unaingia stend unakuta mabasi 8
tabu hii miradi haishirikishi jamii ile stend na soko la ndungai ingekuwa stend bora vingeongezewa thamani hitajika kwa kadri ya mazingira.

  • Ndungai kulitakiwa kuwe na ghorofa ambazo kungekuwa na wapangaji kwa juu bachelor house chumba na sebule ili wawe chanjo cha mahitaji kwa soko husika.
  • stend kulitakiwa kuwe na ghorofa ambazo kungekuwa na mahitaji yafuatayo
    • kumbi za sherehe
    • maofisi mabao hawa
    • hotel au Lodge pamoja na migahawa
  • pia zoo za wanyama wadogowadogo
  • bustani na sehemu za kuchezea watoto
nauhakika kungekuwa na tija kubwa
 
Ila ile stend ya dodoma daaah ni hasara labda itafaa miaka 100 ujayo unaingia stend unakuta mabasi 8
Listand la hovyo unatoa stand city center alfu unakuja kujenga hekalu Kama lilie la bas kupita dkk mbili alfu zote zimeamsha
 
Dodoma inakuzwa tu ndo maana ukitoka hapo baada ya km 10 toka mjini unakutana na vumbi tu
Hakuna maendeleo yaliyowahi kuletwa na serikali yakaacha kupigiwa kelele,hata mlipoambiwa acheni kutumia antena za miba mlitaka kuandamana,leo hii kila mtu ana ungo nyumbani kwake,chanel karibu zote ni HD,watu wote kimya,utazoea tu mkuu acha tu sindano ikuingie ndio uponaji wenyewe huo...
 
Igumbilo Bus terminal Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…