TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

Jiwe akivuta mnishtue.
Tunaowahitaji wanakufa, tusiowahitaji wanakula kitimoto tu
Beware, unaweza kufa kabla yake, au wa kwako wa karibu akafa kabla yake, kwa sababu moja tu, umeandika uloandika.
 
Jiwe akivuta mnishtue.
Tunaowahitaji wanakufa, tusiowahitaji wanakula kitimoto tu
Mkuu, Mungu ndiye Mwenye ratiba ya maisha ya wote Wenye miili, Ni Bora ujifunze kuwa na upendo tu Maana haikusaidii kumchukia mtu na kumwombea kifo wakati mtoa amri ya Nani aanze ni huyohuyo anayefahamu kwamba wewe utaondoka lini,

Na wakati mwingine ratiba ya wewe kuondoka inaweza kuwa iko Mbele ya unayemuombea afe halafu yeye akakaa miaka mingi Kwa kuku double maisha yako

Unachotamani kifanyike mpangaji wake Hana ushirika na Ujinga huo
 
Mara ya mwisho kukutana na kufanya naye mahojiano ni January 20 katika kongamano la siku ya Kiswahili duniani lililofanyika Dodoma mama Samia Suluhu Hassan akiwa ni mgeni rasmi alikuwa mzima bukheei wa Afya. Mara ya mwisho kusikia sauti yake ni katika PB on Saturday ya Clouds FM.

Ameona amfuate Brigadier Mbena fasta. Changamoto hii bhana.
 
Amefarikia wapi, Hospital au nyumbani? kipi chanzo cha kifo chake?
 
Jiwe kaleta kilio kwa watu wengi zaidi.
Tunaowahitaji wanakufa, tusiowahitaji wanakula kitimoto tu
Mkuu tengua kauli yako utawala wa magufuli auna uwezo wa kusema Nani afe Nani asife.
NB: akuna mbadala wa kifo
 
Namba zina soma kwa kasi sana...Sayansi HAIDANGANYI ...na matunguli hayajawahi kushinda Sayansi....
 
Aliandika Kitabu kimoja kinaitwa Fungate ya Uhuru. Kwenye Kitabu hicho enzi zake aliponda sana tabia ya watawala wetu kujisahau kuwatumikia wananchi na badala yake wanaendelea kusherehekea uhuru kwa kuwanyonya wanyonge wakati wao wakineemeka kwa raslimali na fdha za umma huku wakiwanyima wananchi uhuru halisi wa kutoa mawazo yao na kudai utumishi toka kwa viongozi wao.

Bahati mbaya ni kwamba baada ya kuona yupo nje ya mfumo wa utawala kwa muda mrefu alivutiwa na mapaja ya kuku yanayoliwa kwenye hiyo fungate na watawala na baadaye alikuja kuungana na tabaka tawala kula fungate hadi mauti ilipomkuta
 
Innalillah wainna ilayh rajiuun

Mmoja wa Waandamizi na Watiifu wa Nyerere karejea kwa Mola wake

Kuna Wakati miaka ya mwanzo ya 1980s aliwahi kuhudumu kama Mwenyekiti na Katibu wa UV CCM Taifa

Ni Mmoja wa watu ambao alikuwepo kwny NEC ya 1984 iliyoshuhudia Seif Sharif Hamad akimsaliti Sheikh Aboud Jumbe

Huyu ndie aliemshauri Nyerere akitaka ushauri wa Znz nani amrithi Aboud Jumbe baada ya kung'olewa basi amuulize Marehem Sheikh Thabit Kombo katibu wa Kwanza wa ASP ambae tayari alikuwa kapata maradhi ya kutoona , nae Sheikh Thabit Kombo akampendekeza Ally Hassan Mwinyi ambae alitoka kurudishwa toka Egypt kama Balozi akiwa 'yupo yupo' tu
 
Wasakatonge nimekumbuka secondary aisee pumzika kwa amani babu
 
Back
Top Bottom