Innalillah wainna ilayh rajiuun
Mmoja wa Waandamizi na Watiifu wa Nyerere karejea kwa Mola wake
Kuna Wakati miaka ya mwanzo ya 1980s aliwahi kuhudumu kama Mwenyekiti na Katibu wa UV CCM Taifa
Ni Mmoja wa watu ambao alikuwepo kwny NEC ya 1984 iliyoshuhudia Seif Sharif Hamad akimsaliti Sheikh Aboud Jumbe
Huyu ndie aliemshauri Nyerere akitaka ushauri wa Znz nani amrithi Aboud Jumbe baada ya kung'olewa basi amuulize Marehem Sheikh Thabit Kombo katibu wa Kwanza wa ASP ambae tayari alikuwa kapata maradhi ya kutoona , nae Sheikh Thabit Kombo akampendekeza Ally Hassan Mwinyi ambae alitoka kurudishwa toka Egypt kama Balozi akiwa 'yupo yupo' tu