Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

... hata mimi nimeliona hilo; ni wife material. Huyu siku anapokea talaka yake siku hiyo hiyo anaolewa unless uniambie sijui kuna eda sijui vitu gani vya kumkwamisha temoprarily lakini "halali njaa" huyu! Na ndicho kinachomsumbua Mwaka.
Huu ndo uhalisia kabisaa
 
Sasa usiamini kivipi mtu kakubali kuachia hadi mali??na anasema hakutaki
Mwaka ametaka mali?
Mwaka anatake msaliti aendelee kuwa kwenye himaya yake.
Mnamkandamiza mwanaume mwenzenu kwa kutishwa na machozi?

Wewe mke achepuke kirahisi akimbilie kuomba talaka?

Ninasimama na mwaka.
Siku Mwaka akifunua mdomo mtaaibika sana watetezi wa mwansmke huyu
 
Alizin lin huyo dada?
 
... ni jukumu la serikali kuhakikisha usalama wa raia wake tena raia mmoja mmoja. Huyo bidada anajihisi hayuko salama kuomba msaada wa serikali ni haki yake.
 
Kapeace wewe ni rafiki yangu mpendwa na najua una akili kubwa.

Nyie wanawake sisi tukiharibu na kuwaacha mnaona tunawapotezea muda na tumewachezea.
Kwanini msione hili kwa huyu mama kuwa kampotezea mwenzie muda na gharama?
 

Hili lijamaa ni lipumbavu sana, hivi mwanamke wa nini kumsumbukia hivi
 
Huu ndo uhalisia kabisaa
... Mwaka angehakikishiwa akitoa talaka, mtalaka wake huyo atadhalilika maisha yake yote angeshaitoa toka juzi! Ila kwa kuwa ana uhakika kutoa talaka ni sawa na kumwongezea chura mwendo tena kwa spidi ya mwanga anahisi atadhalilika yeye (Mwaka). Hilo linamsumbua kweli kweli!
 
Kapeace wewe ni rafiki yangu mpendwa na najua una akili kubwa.

Nyie wanawake sisi tukiharibu na kuwaacha mnaona tunawapotezea muda na tumewachezea.
Kwanini msione hili kwa huyu mama kuwa kampotezea mwenzie muda na gharama?
Kuna taarifa kuwa dokita alimtelekeza huyu mwanamke kwa mwaka mzima,, hapo bado unamtetea huyo dokta?? Hivi unamng'ang'aniaje mtu asiyekutaka kumbuka anao wake wengine,
 
Na wanaume wengi abusive wana hii tabia, anataka akikuacha upauke hata nzi asikusogelee, ikiwa kinyume ndo utaona sarakasi zao, kwavile anajua bado analipa basi anaona ambanie ili amkatishe tamaa, amsumbue tu, ingekuwa huyu dada ni mtu mzima(mzee) angeshampa hiyo talaka,
 
"Mwanamke" kama kaona "Jamaa" hataki kutoa "talaka" basi atoe yeye lakini pia kwa kufanya hivyo "atapoteza" haki yake ya kugawana/kugawiwa "mali"
... duh; ndio nini hii? Mwanamme naye akitoa talaka anpoteza haki yake ya mali? Au hiyo ina-apply tu endapo ni mwanamke katoa?
 
Ila hizi ndoa za mmoja kubadiri dini au Mtu alikuwa na ndoa yake ya kikiristo akamkimbia mume WA ujana wake na kubadiri dini na kuwa muislam Leo anatesekea dini na ndoa hakika Mungu yupo ...
 
Na wewe ukiwa na akili timamu kabisa unaamini huo ulaghai?
Ili tuamini au tusiamini cha kwanza ampe kwanza baada ya hapo ndo tutajua nani mkweli nani muongo!
Ila nnachoona mwaka kila akikumbuka mabakuli ya supu na uji ambayo alisema queen alikua anamwasha nayo roho inamdunda sio kidogo🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…