KWA ulimwengu wa SAsa hivi hata akili haziwezi tena,labda tupewe maagizo mengine.Ndio maana tukaaswa tuishi nao kwa akili
Tena ukiwa na akili hamfiki mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA ulimwengu wa SAsa hivi hata akili haziwezi tena,labda tupewe maagizo mengine.Ndio maana tukaaswa tuishi nao kwa akili
Nasikia mganga wa nguvu za kiume jogoo hapandi mtungi ndio sababu ya kuachwa.
Mwanaume ana moyo mmoja ukipenda wawili ama zaidi hao wengine utawaweka wapi? Ni wazi kuna mmoja atakaa nafsini kwa asilimia mia na we na wengine wataambulia makombo ya hisiaNasikia wake wenza ulogana Sana kumfukuza mwenzake ulingoni
Angekuwa na hekima angeomba watu wenye hekima kukutanishwa na mumewe ampigie magoti.
Hii ni sanaa kutaka huruma za watu tu.
Wangapi wanawapa talaka wake zao na hatuoni wakiwapa hizo mali wala uhakika wa pa kuishi?Kuna vitu mnatakiwa kujua hukmu yake kabla hajatoa ushauri wa nini kifanyike.
Talaka ina hukmu zake na baada ya kutolewa kuna masharti lazima yatekelezwe.
Kuhusu kuachana, Uislam unaruhusu Mwanamke kujivua kwenye ndoa kama atakuwa ana sababu na atatimiza masharti ya kujivua ambayo ni pamoja na kurudisha mahari aliyopewa.
Kwahiyo Dada yetu huyu ana nafasi ya kujivua kwa kuteleleza sharti hilo, kinyume chake Mwanaume akitoa talaka anatakiwa kutimiza masharti yote ambayo ni pamoja na kumfidia mwanamke baadhi ya mambo, ikiwemo kumpatia kiazio cha maisha, uhakika wa makazi baada ya hapo.
Sasa wanawake wa siku hizi, wanadai talaka ila wanalazimsha wanaume watoe talaka ili wanaume wawajibike kwenye kuwafidia kitu ambacho ni mtego.
Muulizeni Queen, je amefata taratibu za kujivua kwenye ndoa kwakuwa yeye ndio anadai talaka? Kwanini alazimishe Dr. Mwaka ataoe talaka yeye wakati yeye hakuwa na nia ya kumuacha mkewe?
Kinachotafutwa hapa ni kumuingiza Dr. Mwaka kwenye mtego, atoe talaka ambayo hakuowahi kuiombea ili baadae sheria ifate mkondo wake wa kugawana mali, na huyu Dada atakuja kusema mimi sikutaka hivyo ila sheria ndio zinataka tugawane na hapo mtakuja kusema hapa, yaani atatumia watu baki kujifanya wamemshauri na kumlazimisha na hapo ndio mtakuja kumhurumia Dr. Mwaka.
Mwisho, ajivue kwenye ndoa hiyo mwenyewe na kanuni zinasema, akijivua mwenyewe hakuna kufidiwa chochote na hakuna mgawanyo wa mali.
Hata Mimi huyo mwanamke kanistaajabisha sana kumlilia Rais wa Nchi aseeeh
Ukiwa na akili lazima Mbali mtafika.KWA ulimwengu wa SAsa hivi hata akili haziwezi tena,labda tupewe maagizo mengine.
Tena ukiwa na akili hamfiki mbali
Uhitaji kuwa na uadui na mzazi mwenza,bora kuweka distance ya kiroho na kimwili Ili kupata amani, huwezi badili malezi ya mtuUkiwa na akili lazima Mbali mtafika.
Inategemea una define vipi mbali,
Kuishi kama maadui hadi kifo kiwatenganishe?
Au muachane muendelee kushirikiana kwa amani opening life's doors to other possibilities!
Raisi mwenyewe ameshasema huwa anamuheshimu Mme wake na huwa anampikia chakula, imagine huyo ni raisi WA nchiAmemaanisha hivi wanawake wengi wanaonewa sana na hakuna sheria kali za kuwalinda asaidie wanawake wasionewe pia kuimarisha sheria kumlinda mwanamke
Haha kwanini mnatetea uovu?Kwanin asitoe talaka mtu anataka talaka bana
Weee umesikia wapiNasikia mganga wa nguvu za kiume jogoo hapandi mtungi ndio sababu ya kuachwa.
ruma msaliti?Wanasema usimwamini mbwa anayechechema au mwanamke anaelialia.....…#Usimwonee huruma mwanamke. (Kauli mbiu ya mdau flan humu JF).....
Iyo namba 3 unajidanganya mkuu. Usiamini ulaghai wa mwanamke especially anaejilizaliza subiri uyo Mwaka ajichanganye kutoa talaka aone show.Kuna vitu vitatu muhimu sana kwenye hili sakata
1. Mwanamke ndio anataka talaka
2. Hataki kudhalilishana kwenye mitandao ya kijamii( hili nimempa big up sana)
3. Hataki kugombea mali anataka amani ya moyo aachwe alee wanae!
Kwa hizo point tatu unaweza kuona wazi tatizo liko upande gani
Na wewe ukiwa na akili timamu kabisa unaamini huo ulaghai?the fact that ameomba apewe tu talaka na mali ataziacha zote that speaks volume about Dr. Mwaka!
Shida ni wanawake wa sasa wanaangalia mahusiano kimasilahi sasa pale anapodai sana talaka lazima mwanaume lazima ushtuke mwenzangu ana ajenda gani huyu, nafikiri ugumu wa uyo Mwaka kutoa talaka upo kwenye mgawanyo wa mali, fikiria wanawake mlivyo wagumu kutoa hata elfu 10 tu kumsaidia mwanaume mnaona ni nyie tu ndio mna haki ya kusaidiwa na jinsia nyingine sasa mkiachana mwanaume inabidi akuachie nyumba aliyojenga kwa jasho lake bila wewe kuchangia hata tofari moja just imagine machungu yake. Uyo mwanamke kama anataka talaka atafute mwanasheria amwandalie document kwamba anataka talaka tu hana shida ya mali ili itambulike ivyo kisheria na sio maneno ya kujiliza mitandaoni tu. Wito wangu kwa wanawake ukitaka kuachana na mwanaume wako kwa amani rudisha kila alichokupa au mlipe gharama zote alizotumia kwa ajiri yako.. kama ni kiwanja, gari n.k mrudishie vitu vyake kama alikusomesha mlipe gharama zote alizotumia kukusomesha. Mapenzi yameisha kwa mwanaume ila hayajaisha kwa mali zake. Ridiculous.!Wanaume wa siku hizi hawaachiko kirahisi mpk zifanywe drama nyingi😂😂😂 kinachomuums dr makanjanja ni kutoa talaka akijua kuna mtu atachukua zigo😂😂,,
Hapa piga ua talaka yangu utatoa, atoe talaka wanaume wachukue zigo😂
una akili sanaNimegundua huyu mama ana hekima sana
ukiitazama sura yake nagundua mama ana mambo mengi ameyapitia na yanamuumiza sana.. Dr. Mwaka amejivua nguo mwenyewe kwenye hili sakata..View attachment 2510019
Kuna kipindi sisi wanaume huwa tunajipalilia maanguko yetu sisi wenyewe. Haijalishi umempenda mtu kiasi gani, ikifikia wakati upendo ukaisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee.
Kupitia hili sakata la Mwaka na mke wake, Mwaka anaweza akahisi ameshinda, ila daima mwanamke sio wa kumfanya adui yako, hasa mwanamke ambae anajua undani wako.
Bila kujua Mwaka anapigwa laana na machozi ya mkewe, watoto wake na hata watu wengine wanaouguswa na haya mambo.
Sio kwa kuwa biased, ila Mwaka ana kila traits za Sadisit (mtu anaepata faraja katika maumivu ya wengine) na hili halitamalizika vyema kwake.