Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Hivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?

Me sidhani kama miaka hiyo walikuwa wanahesabu kama sisi now hahaha usikute hao 1000 ni kama 20 kwa sasa,

Ni kama ile miaka 40 wana wa Israel, hivi ni kweli ile miaka ni Kama ya sasa ya siku 360
 
Yani nimemtafakari huyo Mwaka nawakeze nabaki kuguna.
Haya kalala nao usiku akapata hamu atamuanza yupi na huyu mwingine atavumilia???Aisee wamejidhalilisha sana sana wanaona ufahari .
Na wameshaweka kumbukumbu ivoooo mitandao itakumbuka miaka 10 mbele saizo watoto wao weshakua wakubwa.
Ptuuuuuuuuuu anachovya hapa anachomoa anaweka huku eeeeeew!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mi naona sawa tu...si kafunga nao ndoa..hamna tatizo hapo...anastahili pongez kwa kama kuowa siyo kama vjana wengine ni midango siku 365...pepo nadra sana kuiona
 
Huyo Kilaza hana tofauti na Dr Shika,mtu anyebwabwaja redioni na kwenye TV kutibu wanawake anatoa boko la kuwadhalilisha wanawake.
 
Dr Mwaka and family wana mkakati tu wamekuja nao kwa ajili ya biashara yao tu,sasa hivi bongo bila kuzungumziwa na kiki watu wanakusahau mapema.Sasa usipokua makini na media za kibongo lazma ujifedheheshe muda mwingine haikuwa na haja kuweka jibu tata ili watu wapate la kusema.
 
Mwaka sio Dr ni kanjanja mmoja tu town
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa lake labda kulala nao pamoja,hizo stori zenu nyingine ni wivu wakike tu! Kama dini yake imemruhusu na waolewa wenyewe wamekubali,nyinyi munabwabwaja nini? Kama inauma unavumilia kimya kimya na wako 1. Ukimwi nenda kaangalie ktk takrimu mikoa inayoongoza inandoa za wake wengi au? Ndoa za hivyo zimeenea sana mikoa ya pwani sasa hali yamaambukizi kalinganishe na nyanda za juu kusini ambapo mume1 mke1 hadi kifo. Ukilifahamu hilo njoo hapa ulete uthibitisho wako. Alafu bado kuna watu vilaza kabisa! hivi kuna watu wanaofanya ujinga hapa duniani kama hao munaowasujudia? Wamevuka mipaka hadi kubanduana wanaume kwa wanaume!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitulia kwa dakika tano ukitafakari alichojibu,utaona kuna ujinga mkubwa anaofanya , aache kuchafua fani za watu wa MUHAS
 
Kwa mujibu wa dini yake hilo ni kosa tena kubwa sana, Mume haruhusiwi kufanya mapenzi na wakeze kwa wakati mmoja,
Innalillah wainna illah raji'un.
Mbona hakuna pahala aliposema kama kafanya nao mapenzi kwa wakati mmoja tuwe waelewa kuna tofaut kati ya kulala na kufanya mapenzi Shadeeya mis u kipe 😘😘😘
 
huyu jamaa bado yupo? shukran ziende kwa Kigwangalla kwa kutuondolea hili laghai kwenye ramani ya kitabibu.
 
Mbona hakuna pahala aliposema kama kafanya nao mapenzi kwa wakati mmoja tuwe waelewa kuna tofaut kati ya kulala na kufanya mapenzi Shadeeya mis u kipe 😘😘😘
Unataka kusema analala nao kitanda kimoja halafu akitaka kufanya mapenzi na mmoja anatoka anahamia chumba kingine wakimaliza wanarudi? Kuna vingine unajiongeza hata kama mtu hatotamka,
Shadeeya? Hapana mimi sie.
 
Unataka kusema analala nao kitanda kimoja halafu akitaka kufanya mapenzi na mmoja anatoka anahamia chumba kingine wakimaliza wanarudi? Kuna vingine unajiongeza hata kama mtu hatotamka,
Shadeeya? Hapana mimi sie.
Nauliza hivi mkilala kitanda kimoja ni lazima mfanye mapenzi
 
Unataka kusema analala nao kitanda kimoja halafu akitaka kufanya mapenzi na mmoja anatoka anahamia chumba kingine wakimaliza wanarudi? Kuna vingine unajiongeza hata kama mtu hatotamka,
Shadeeya? Hapana mimi sie.

Sikukuita shadeeya bali nikimquote yeye aje ili achangie hapa
 
Sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku akiyumba kiuchumi na kipato ndio hao wanawake watajuana vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…