Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
😂😂😂 hii kali aisee!Hivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 hii kali aisee!Hivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?
Hivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?
Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo.
Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana.
Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu kulala na wake zake chumba kimoja, jibu Lake ni kuwa wake zake wawili (isipokuwa wa kwanza) analala nao ila Kuhusu kushiriki tendo kwa pamoja hajakataa ila amesema ni mambo ya ndani.
Sasa huyu chalii ndio anamaanisha wanashiriki "threesome" na wake zake sio.
Ukiwa na hela raha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikiliza BBC World Service hapa.
Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.
Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.
Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu Ni culture yao lakini hatuwabezi
Mbona hakuna pahala aliposema kama kafanya nao mapenzi kwa wakati mmoja tuwe waelewa kuna tofaut kati ya kulala na kufanya mapenzi Shadeeya mis u kipe 😘😘😘Kwa mujibu wa dini yake hilo ni kosa tena kubwa sana, Mume haruhusiwi kufanya mapenzi na wakeze kwa wakati mmoja,
Innalillah wainna illah raji'un.
huyu jamaa bado yupo? shukran ziende kwa Kigwangalla kwa kutuondolea hili laghai kwenye ramani ya kitabibu.Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo.
Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana.
Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu kulala na wake zake chumba kimoja, jibu Lake ni kuwa wake zake wawili (isipokuwa wa kwanza) analala nao ila Kuhusu kushiriki tendo kwa pamoja hajakataa ila amesema ni mambo ya ndani.
Sasa huyu chalii ndio anamaanisha wanashiriki "threesome" na wake zake sio.
Ukiwa na hela raha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema analala nao kitanda kimoja halafu akitaka kufanya mapenzi na mmoja anatoka anahamia chumba kingine wakimaliza wanarudi? Kuna vingine unajiongeza hata kama mtu hatotamka,Mbona hakuna pahala aliposema kama kafanya nao mapenzi kwa wakati mmoja tuwe waelewa kuna tofaut kati ya kulala na kufanya mapenzi Shadeeya mis u kipe 😘😘😘
Nauliza hivi mkilala kitanda kimoja ni lazima mfanye mapenziUnataka kusema analala nao kitanda kimoja halafu akitaka kufanya mapenzi na mmoja anatoka anahamia chumba kingine wakimaliza wanarudi? Kuna vingine unajiongeza hata kama mtu hatotamka,
Shadeeya? Hapana mimi sie.
Unataka kusema analala nao kitanda kimoja halafu akitaka kufanya mapenzi na mmoja anatoka anahamia chumba kingine wakimaliza wanarudi? Kuna vingine unajiongeza hata kama mtu hatotamka,
Shadeeya? Hapana mimi sie.
SahihiKama hao wanawake ni wake zake..
Kama wote hao wake zake hawana tatizo kulala naye kitandani wakiwa pamoja..
Nyie wengine tatizo lenu ni nini hasa?
Labda ninaloweza kumkosoa ni yeye kuongelea mambo ya chumbani kwake redioni.
Zaidi ya hapo, sina tatizo na yeyote yule alalaye kitandani mwake madhali si mtoto dogo au mtu aliyelazimishwa kulala naye.