Dkt. Mwakyembe akabidhi ripoti ya uchunguzi kufeli mawakili LST

Kweli sasa vilaza wamevamia sheria. Unashangaa mtu toka la kwanza hadi form 6 alikuwa kilaza msindikizaji shuleni naye anasoma sheria!! Tofauti na zamani sheria walienda vipanga cream tupu.
 

Yaliyoandikwa mwananchi ni tofauti na yaliyoandikwa nipashe:

Kamati ya Uchunguzi ya Kufeli kwa Wanafunzi Law School yasema haijapata Ushahidi wa Kutosha kutoka kwa Wanafunzi kuhusiana na Madai yao

Pana haja ya kuiona ripoti kamili.

Hata hivyo nani alitegemea la maana tokea kwa hakimu nyani mshtakiwa ngedere kala mahindi?
 
Kweli sasa vilaza wamevamia sheria. Unashangaa mtu toka la kwanza hadi form 6 alikuwa kilaza msindikizaji shuleni naye anasoma sheria!! Tofauti na zamani sheria walienda vipanga cream tupu.

Mawazo mgando bila shaka tokea kwa wale wananchi wabile nchi ya viwanda. Kazi kweli kweli.
 
Kwahiyo kuna mawakili vilaza...baada ya kutamba kwa mawakili wasomi??
 
D mbili form 6 🤯🤯 siku hizi unasoma sheria!!!!!Zamani ukiona mtu anasoma sheria au medicine au engineering au economics au accounts au computer science, ujue alikuwa kichwa kweli kweli shuleni.

Una maana vichwa kweli kweli kama waliofuata dawa za ngwengwe Madagascar?
 
Inafikirisha sana. Tubadili fikra zetu. mambo haya hayatakaa kuja kukoma kama tunafikiria kama robots. Pengine anachosems Mwakyembe kina ukweli mwingi
 
Hapa naona ni kutupiana hilo gunia la misumari. Tukianza na law school wako sawasawa kweli? Vijana ni vilaza au mfumo wetu ndio unazalisha vilaza? Mwakyembe tumuamini au ni walewale.
 
Inafikirisha sana. Tubadili fikra zetu. mambo haya hayatakaa kuja kukoma kama tunafikiria kama robots. Pengine anachosems Mwakyembe kina ukweli mwingi

Ifahamike kuwa Mwakyembe kasema mengi. Kabla ya kuiona ripoti kamili kujaribu kutoa msimamo kuihusu itakuwa ni jambo la kushangaza.

Hata hivyo kwa dondoo kuwahusu miungu watu wale ninashawishika kuamini kuwa pana mengi yanayoweza kuja kuwa sawa.

Miungu watu wale walikuwa miungu watu kweli kweli wakasahau vyeo ni dhamana.

Wakisema 'mwanzo wa ngoma ni Lele.'
 
Nakubaliana na Tume

Digrii ya Sheria imegeuka dampo la kila failure wa form six wa combination zote
Wakifeli fall back position ni kwenda kusoma law

Degree ya law inabeba makokoro.yote sio noble degree tena

Enzi zake law bila ufaulu mkubwa hukanyagi kusoma degree ya Law.Walichukua fani zote za combination ila za wenye ufaulu mkubwa sana

Sasa hivi mzazi nashauri usimpeleke mtoto kusoma degree ya law sio tu haina soko lakini failures wengi ndio wamejazana huko
 

Tanzania kama taifa ilikuwa zamani.

Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena

Leo hii Hadi kina @yahodaya ni ma think tank wabobezi.

Hiiiiiiii bagosha.
 
Kusoma degree ya Law ili kuja kuajiriwa kwa sasa ni kupoteza tu muda. Wahitimu ni wengi, ajira hakuna. Law imekuwa ni degree ya yebo yebo. Failure kibao wanasoma law.
 
Hii Miungu watu ndio imeharibu elimu yetu. Wametukalilisha madesa, tumesahau kutumia vichwa kusoma, kufikiri na kujenga hoja za kupambana na changamoto za mazingira yetu
 
Jalala!
 
Kweli sasa vilaza wamevamia sheria. Unashangaa mtu toka la kwanza hadi form 6 alikuwa kilaza msindikizaji shuleni naye anasoma sheria!! Tofauti na zamani sheria walienda vipanga cream tupu.
Kwani kusoma maana yake nini?.Kama mtu yuko chuo na anafundishwa kuna shida gani?.au kazi ya chuo ni nini?.Mtu kutokua kipanga uko kwenye elimu ya chini haimaanishi hawezi kufundishwa chuo akaelewa.Tatizo hapa ni kwamba uko vyuoni kuna shida ya kufwatilia ufundishaji na uelewa wa wanafunzi wanaohitimu.Hilo ndo tatizo la msingi.kwasababu haiwezekani mtu amalize degree ya kwanza alafu akienda Tls ashindwe ata kujieleza.
 
nitashangaa kama ripoti hiyo itatetea vilaza, wavivu wa kusoma, wanaotaka mteremko.
vijana wetu wa sasa ni wavivu, wanapenda starehe zaidi kuliko kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…