Dkt. Mwakyembe akabidhi ripoti ya uchunguzi kufeli mawakili LST

Dkt. Mwakyembe akabidhi ripoti ya uchunguzi kufeli mawakili LST

Ripoti ya uchunguzi wa kufeli mitihani ya Law School kwa mawakili-watarajiwa



kelele zilipazwa zaidi sana majibu ya mtihani walioketi wa 33 katika shule ya sheria / law school .....
 
Tusipobadili mfumo wetu wa elimu kwa maana ya mitaala na ufundishaji kuna siku tutajikuta nchi nzima inaongozwa na vilaza! Kama sio mpango mkakati wa kuja kuicolonise tena Tanzania basi juhudi za makusudi zifanywe kurekebisha hili ikiwa ni pamoja na kurudisha walimu wa miaka ya 70 na 80 ambao bado wana nguvu za kusimama kufundisha, maana hao ndio waliokuwa na uwezo wa kufundisha kuliko hawa wa sasa ambao wanafaulu kwa njia mbadala na hatimaye kuonekana kuwa na sifa za kufundisha wengine kwakuwa alipata 4.5 gpa lakini hatujishughulishi kuchunguza kama gpa hiyo imo kichwani mwake au kwenye makaratasi yake ya mtihani tuu!

Ukweli ni kwamba graduates wa sasa ni aibu tupu, siku hizi ukiongea na mwenye digrii hata mambo ya kawaida tu hana tofauti na watu wengine mitaani ambao hawajawahi kwenda shule kabisa!
 
Back
Top Bottom