Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Msiba huu ukiisha tutarudi hapa. InshaallahYes 5 grand...!. Kwa lugha yetu adhimu, mimi ni baba wa watoto 8, kati ya watoto hao, kumezaliwa wajukuu 5!. Faza of 8 na Babu of 5!.
Kuna madogo kibao humu wangepaswa kuniamkia ama Shikamoo Baba ama Shikamoo Babu.
P
Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
Its very true, tumesoma shule moja na watoto wa rais, Makamo, Waziri Mkuu, mawaziri na walikuwa just like ordinary people, nothing special. Siku hizi.... Watoto wengine wote wa Mzee Malecela, with exception ya yule KB,Ila back in the days ilikuwa hivyo kwa wote, shule za serikali lakini watoto wa mawaziri, wahindi(hata wanaotoka kwenye prominent businesses families), hata wale waliokuwa wanarudi kutoka 'majuu' ambao Kiswahili wanakuja kujifunza wakifika Bongo.
Ulikuwa ni mchanganyiko mzuri na hakukuwa na matabaka unlike these days.
Shukrani sana, nadhani watu wataanza kukupa heshima zaidi ya hii wakupayo. Kwangu mimi kiumri wako uko sawa na Mama yangu. Mi now nasogea 40 yrs.Mimi ni wa 60s. Mwele amenitangulia madarasa mawili, mdogo wake Mwendwa ndio age mate wangu. Mimi Babu, nina 8 kids na 5 grand childrens !.
P
Kumbe umetoka mbali, U MC?kisha mimi nikaja kuwa MC
Mungu amuweke mahali pema. Poleni familia na marafiki zakeMkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
[emoji23][emoji23][emoji23]We unajuana na kila mtu hujasoma na mimi kweli weweMtu utasomaje na kila mtu?, mimi sijasoma na kila mtu, ila nimetokea kuwa na kumbukumbuku nzuri kwa niliosoma nao, au darasa moja, shule moja, au chuo kimoja, tena huwezi amini nawakumbuka kwa majina, toka niliosoma nao Kindergarten!, ila imetokea wengi niliosoma nao, tangu Primary, sekondari, A lever na Chuo, they happen to be somebodies!.
Tena huyu, sio tuu nimesoma nae, hadi kwao tumecheza!.
P
Mungu uwa anakasirika. Wakati wa Magufuli, watu walianza kumtukuza kama Mungu! Mungu akakasirika! Na Maandiko yanasema, Mungu akiona wanadamu wanaanza kuyatukuza masanamu kwa kuamini kuwa masanamu yatawatatulia shida zao maana Mungu amechelewa kuwasikia/kuwajibu, BASI MUNGU ANALIUA SANAMU NA MCHEZO UNAISHIA HAPOkifo cha Magufuli
No sijuani na kila mtu, ila kwa nature ya kazi yangu ya uandishi wa habari Tanzania ndani ya miaka 30 newsroom, nimekutana na wengi ikiwemo kuwahoji marais wote 6 wa Tanzania, tukianzia kwa Nyerere, hivyo nawajua watu wengi sio kwa kusoma nao bali kukutana nao.[emoji23][emoji23][emoji23]We unajuana na kila mtu hujasoma na mimi kweli wewe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
U MC nilianza RTD enzi hizo redio ni moja, tena tulikuwa tunafanya bure na kupewa usafiri tuu. Sasa redio kibao, kila mtangazaji sasa ni MC!. Kila msanii sasa ni MC1.Kumbe umetoka mbali, U MC?
Na kweli, that means hapo zamani za kale ilikuwa ni kazi ya heshima na inafanywa na mwenye ujuzi. It was a profession! Leo U MC ndiyo kimbilio la wahuni wa maneno mengi ya hovyo!U MC nilianza RTD enzi hizo redio ni moja, tena tulikuwa tunafanya bure na kupewa usafiri tuu. Sasa redio kibao, kila mtangazaji sasa ni MC!. Kila msanii sasa ni MC1.
P
Unaelewa maana ya WHO? Who owns WHO?Hazina ya Taifa?? Alikua Anafanya kazi nje anakuaje hazina?
Labda Familia ya huyo marehemu na watu wake wa karibu. Kina malechela.Walikua wanatukomoa sisi tuliokua na mapenzi makubwa na JPM kwasababu yeye hawezi kuwasikia ama kuwaona, sasa wanaofurahia yakiwapata wanakua wanawakomoa hawa waliobakia ambao wameguswa na vifo vyao.
Lakini kama nilivyosema, hatufurahii lakini inatupa mixed feelings.
Wakuamkie wakati mtu mwenyewe mnafiki na mchumia tumbo, ulikuwa tayari kumuangamiza mwenzio kwa sababu ya kuwafurahisha watawala madikteta, umri mkubwa ila hustahili heshima.Yes 5 grand...!. Kwa lugha yetu adhimu, mimi ni baba wa watoto 8, kati ya watoto hao, kumezaliwa wajukuu 5!. Faza of 8 na Babu of 5!.
Kuna madogo kibao humu wangepaswa kuniamkia ama Shikamoo Baba ama Shikamoo Babu.
P
Tambaza O-level ilikuwa wanaume watupu mpaka 1995, A-level ilikuwa mchanganyiko.Sikujua Tambaza ilikuwa shule ya wasichana in the 70's