TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Asante sana, sisi watu wa Kanda ya Ziwa, 8 kids ni standard number, Mama zangu walizaliwa 8, sisi pia tumezaliwa 8, na mimi nikaendeleza ile legacy ya 8!.
P
Ubarikiwe maana watoto nane na ada ya English medium! Enzi za Nyerere kila kitu kilikua bure na maisha tuliishi watoto wa kike chumba kimoja na wakiume chumbani kwao. Toothpaste moja mnaikamua wote na kopo la vaseline linawekwa kwenye dressing table kila mtu kwa muda wake.

Siku hizi kila mtoto anataka privacy ya kuwa na chumba chake, wanasema kuna infection control kila mtu ana toilet kit yake yenye sabuni, lotion na toothpaste. Sasa kwa watoto nane si nitapata kichaa!
 
Kiukweli we acha tuu!. Most of them walikuwa wanakaa hostel, hivyo you won't feel the pinch, lakini wakati wa Corona, shule zilifungwa, vyuo vikafungwa, hostel zikafungwa!, huo muziki wake!, usipime. A 5-bedroom house looked small!. Halafu big boys and girls wa university level, waliozoea freedom ya kuishi hostel, kuja kuishi home under home rules ilikuwa shughuli!.
P
 
Wewe unao wangapu aisee! Ila biblia imeandika zaeni muongezeke mkaujaze ulimwengu, na ulimwengu bado haujajaa ili neno litimie, kwa hiyo mimi naona ni vema kuebdelea kufyatuana!
 
Kumbe Mkuu tulikuwa wote TAMBAZA kipindi hicho................, Enzi za Mheshmiwa HH MWINYI, Mheshimiwa JAMES MBATIA nk.
 
Cancer inatibika ukiiwahi, kuna survivors wengi tu walioweza kuishinda cancer kwa matibabu...

Mambo huwa magumu pindi mtu anapochelewa kujua kama ana cancer...
Hapa ntakubishia mpaka kesho bwana daktari. Kinachoongezeka ni miaka tu ya kuidhibiti isitoke kwenye primary source ila ikishasambaa basi.
Mama yangu mzazi aliwahi vizuri tu na tulijua amepona ...woii baada ya miaka 7 ilitusaprize na kumbeba kabisa.
Tusidanganyane na theory uhalisia ni kwamba aliyechelew sana na akawa maskini kifo ni dakika 0...ila aliyewahi anavuta vuta.
Lakini pia cancer hadi igundulike kwamba ni cancer inakuwa ishachukua mda kwakuwa dalili za awali zinakuwa kama za magonjwa mengine
 
Mama yangu ni ya ziwa na iligundulika stage 2 ila hakuna tulichoambulia. Usinidanganye. Hizo tafiti zao possibility ya error ni kubwa au walikutana na sample yenye same feature...
 
Mlicheza kibaba na mamaa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fact. Hata wakati ile ajali iliyowaua Senyagwa na Seche, Seche tulikuwa naye Forodhani. Ilikuwa kawaida tu na hatukuwa tukiona tofauti, darasa linakuwa na watoto wa mawaziri kadhaa but we were all treated equally.
Seche hajafa, usiue
 
Pumzika kwa amani Mwele... jirani na rafiki mwema.

Msalimie Kimambi..... i miss those days tukiwa bongo katika yale mambo yetu....

Pole kwa mzee malecela and family.
Kimambi ndo alifunga ndoa na mwele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…