Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Asante sana, sisi watu wa Kanda ya Ziwa, 8 kids ni standard number, Mama zangu walizaliwa 8, sisi pia tumezaliwa 8, na mimi nikaendeleza ile legacy ya 8!.Hongera sana
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana, sisi watu wa Kanda ya Ziwa, 8 kids ni standard number, Mama zangu walizaliwa 8, sisi pia tumezaliwa 8, na mimi nikaendeleza ile legacy ya 8!.Hongera sana
It's true nimemruka,Umemwacha Seche hapo kabla ya Mwendwa na huyo ndio uliuefuatana naye darasa
Ubarikiwe maana watoto nane na ada ya English medium! Enzi za Nyerere kila kitu kilikua bure na maisha tuliishi watoto wa kike chumba kimoja na wakiume chumbani kwao. Toothpaste moja mnaikamua wote na kopo la vaseline linawekwa kwenye dressing table kila mtu kwa muda wake.Asante sana, sisi watu wa Kanda ya Ziwa, 8 kids ni standard number, Mama zangu walizaliwa 8, sisi pia tumezaliwa 8, na mimi nikaendeleza ile legacy ya 8!.
P
Its true, ni Seche na sio Mwele!. Nao wanafanana sana. Ina maana aliyekuwa mbele yetu ni Seche ndiye aliesoma PCB Tambaza. Ina maana this family had 3 sisters waliosoma udakitari?.Utakuwa umesoma na Seche
Kiukweli we acha tuu!. Most of them walikuwa wanakaa hostel, hivyo you won't feel the pinch, lakini wakati wa Corona, shule zilifungwa, vyuo vikafungwa, hostel zikafungwa!, huo muziki wake!, usipime. A 5-bedroom house looked small!. Halafu big boys and girls wa university level, waliozoea freedom ya kuishi hostel, kuja kuishi home under home rules ilikuwa shughuli!.Ubarikiwe maana watoto nane na ada ya English medium! Enzi za Nyerere kila kitu kilikua bure na maisha tuliishi watoto wa kike chumba kimoja na wakiume chumbani kwao. Toothpaste moja mnaikamua wote na kopo la vaseline linawekwa kwenye dressing table kila mtu kwa muda wake.
Siku hizi kila mtoto anataka privacy ya kuwa na chumba chake, wanasema kuna infection control kila mtu ana toilet kit yake yenye sabuni, lotion na toothpaste. Sasa kwa watoto nane si nitapata kichaa!
Ubarikiwe maana watoto nane na ada ya English medium! Enzi za Nyerere kila kitu kilikua bure na maisha tuliishi watoto wa kike chumba kimoja na wakiume chumbani kwao. Toothpaste moja mnaikamua wote na kopo la vaseline linawekwa kwenye dressing table kila mtu kwa muda wake.
Siku hizi kila mtoto anataka privacy ya kuwa na chumba chake, wanasema kuna infection control kila mtu ana toilet kit yake yenye sabuni, lotion na toothpaste. Sasa kwa watoto nane si nitapata kichaa!
Kumbe Mkuu tulikuwa wote TAMBAZA kipindi hicho................, Enzi za Mheshmiwa HH MWINYI, Mheshimiwa JAMES MBATIA nk.Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye.
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana!.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Yes mimi ni Tambaza wa Kalumuna 1982-1985, summit nimepanda sana na yale mambo yetu ya summit nilikuwa member!. Waheshimiwa wako wengi akiwemo Mhe. Koka!.Kumbe Mkuu tulikuwa wote TAMBAZA kipindi hicho................, Enzi za Mheshmiwa HH MWINYI, Mheshimiwa JAMES MBATIA nk.
nimeelezwa humu tuliye kuwa nae Tambaza ni Seche na sio Mwele!.R.I.P Dr. Mwele, tulikuwa naye Tambaza yeye akiwa A-Level nasi tukiwa O-Level, alikuwa mdada asiye na makuu!!!!!
Huyo sii kwa roho yake hiyo kama sii mwanga hata sijui🤔Wewe jamaa unaonekana una maisha magumu sana
Hapa ntakubishia mpaka kesho bwana daktari. Kinachoongezeka ni miaka tu ya kuidhibiti isitoke kwenye primary source ila ikishasambaa basi.Cancer inatibika ukiiwahi, kuna survivors wengi tu walioweza kuishinda cancer kwa matibabu...
Mambo huwa magumu pindi mtu anapochelewa kujua kama ana cancer...
Mama yangu ni ya ziwa na iligundulika stage 2 ila hakuna tulichoambulia. Usinidanganye. Hizo tafiti zao possibility ya error ni kubwa au walikutana na sample yenye same feature...Pole sana kuna cancer ukigundua mapema zina zaidi ya 90< kupona mfano tezi dume mheshimiwa kikwete na mzee wangu waliwahi wakatolewa tezi dume bila hivyo ingekuwa ngumu.
Cancer ya maziwa na tumbo nayo ukifanya screening mapema inasaidia sana. Kuna tofauti sana na cancer ya stage 1 na cancer ya stage 3 au 4. Na mimi sisemi kwa hisia kuna data za kuthibitisha haya. Kosa tutakalo fanya ni kusema stage 1 and stage 3 au 4 ni sawa.
Mlicheza kibaba na mamaa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu utasomaje na kila mtu?, mimi sijasoma na kila mtu, ila nimetokea kuwa na kumbukumbuku nzuri kwa niliosoma nao, au darasa moja, shule moja, au chuo kimoja, tena huwezi amini nawakumbuka kwa majina, toka niliosoma nao Kindergarten!, ila imetokea wengi niliosoma nao, tangu Primary, sekondari, A lever na Chuo, they happen to be somebodies!.
Tena huyu, sio tuu nimesoma nae, hadi kwao tumecheza!.
P
Hapo sijazaliwa hata ndo mama anatongozwa tongozwa na dingi...Yes mimi ni Tambaza wa Kalumuna 1982-1985, summit nimepanda sana na yale mambo yetu ya summit nilikuwa member!. Waheshimiwa wako wengi akiwemo Mhe. Koka!.
P
Seche hajafa, usiueFact. Hata wakati ile ajali iliyowaua Senyagwa na Seche, Seche tulikuwa naye Forodhani. Ilikuwa kawaida tu na hatukuwa tukiona tofauti, darasa linakuwa na watoto wa mawaziri kadhaa but we were all treated equally.
duhDr. Mwele Malechela ameumaliza mwendo yaani amefariki leo huko Geneva Uswisi alikokuwa anafanya kazi. Mungu aifariji familia yake.
Tunashukuru kwa huduma yake ilotukuka. R.I.P Dr. Mwele Malechela.
Tunaweza kusema hivyo , Mwele, Seche, Irene sasa sijui kama wewe ulimaanisha hivyo au kuna mwingineIts true, ni Seche na sio Mwele!. Nao wanafanana sana. Ina maana aliyekuwa mbele yetu ni Seche ndiye aliesoma PCB Tambaza. Ina maana this family had 3 sisters waliosoma udakitari?.
P
Mumewe yuko wapi?Niliona niku tag maana nlikumbuka kua ulisherehesha shughuli yake!
Pole kwako Kiongozi Pascal.
Kimambi ndo alifunga ndoa na mwele?Pumzika kwa amani Mwele... jirani na rafiki mwema.
Msalimie Kimambi..... i miss those days tukiwa bongo katika yale mambo yetu....
Pole kwa mzee malecela and family.