TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Sasa unataka tuyape kipaumbele wakati hayapo Ni ya kutunga tu ili watu wajipigie hela. Mfano zika ambayo haijawi kuwepo Tanzania lakini ikalazimishwa itangazwe hivyohivyo ili watu wapige hela mwamba akashtukia.

Kwanza kimsingi magonjwa hayapaswi kugongewa debe mana ni disaster na hivyo tunayaombea yasiwepo kabisa.
Ni sawa baadhi ya makanisa eti wanafanya advertisement wakati ile Ni service tu mtu anapaswa aende yeye mwenyewe siyo atafutiwe matatizo wakati yeye hayaoni.
 
Kwani nini kimetokea tena?
 
It's true nikiwa mdogo nilikuwa nakuja sana Railway Gerezani, Mzee Kafwimbi (RIP), ni Baba Mkubwa. Enzi hizo nilikuwa primary, basi na wewe ni wa longi!. Utakuwa ni wa 70s, mimi ni wa 60s.
P
 
1,2 na 6 ndio wameshatangulia, sio?
Pamoja na Le Mutuz, Mzee Malecela alikuwa na watoto 7 tu ama kuna wengine?
1,2, 5,6 ni RIP. 4 ni Jaji ila pia ana changamoto. Enzi za udogoni LE hakuwahi kuishi pale. Wazee wetu wa Kiafrika ndio zetu!. Mimi mwenyewe kuna ndugu zangu nimekuja kuwajulia msibani kwa Dingi. Hivyo anaweza kuwa na wengine besides wale wa home niliocheza nao udogoni.
P
 
Basi kama unamfaham Rehema basi tulikuwa darasa moja vipi unaweza kujua classmates wetu wengine wako wapi Sasa hivi Mwanaidi Schmidt, Mwajuma Brooks, Tatu Waters, Mwamvua Maguire na Namsifu Cummings?
 
4 anachangamoto ya nini?
 
Tumia lugha ya heshima kwa wazazi wako kuwa Dingi ndio alikuwa anafukuzia, hatimaye akamtokea, akakubaliwa, taratibu zikafutwa ndipo na wewe ukaletwa duniani.
P
Vile vile pole saana kaka paskali kwa msiba wa mama.
Wewe ni msukuma uliye changanya na kaskazini?
 
Vile vile pole saana kaka paskali kwa msiba wa mama.
Wewe ni msukuma uliye changanya na kaskazini?
Asante sana sumbai , Mzee Mayalla (RIP) ni Msukuma aliyeoa Uchaggani, na both walikuwa ofisi moja. Hizi mixed tribe marriages ndizo zilizoua kabisa ule ukabila m baya wa Tanzania. Kaskazini kulimfanya dingi ajanjaruke kidogo na kumpunguza ushamba wa Kisukuma, hivyo watoto wote tumezaliwa mjini, tumekulia mjini, tumesomea mjini, hivyo kujenga kada mpya ya Wasukuma wajanja wa mjini.

Hata yule "jamaa yetu", Brother wangu yule, alikuwa na mambo ya kishamba sana, nikajitahidi sana kumshauri, mambo mengi, likiwemo hili, Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? na hili Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?
na hili Haya mambo ya kufanya siri na Mficha maradhi, matokeo sote tunayajua, mwisho wa siku, ndio kama vile, lile dubwana likala kichwa!.
P
 
Da mzee Malecela kaona mengi sana, Mungu ampe nguvu, amezika watoto wengi tena vichwa hasa. Nadhani kabaki lemutuz na wachache
Duh,serious!?
Pole yake masikini,badala watt wawazike wazazi imekuwa vice versa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…