TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Alikuwa anaitwa Senyagwa, siyo Senyangwa! Alifariki 1984 Mbuyuni karibu na St Peters akiwa anaendesha Benzi la baba yake akitokea alfajiri kwenye disco. Baba yake alikuwa safarini kikazi Uingereza alikotumwa na Mwalimu, yeye nyuma yake akachukua funguo za benzi ya baba yake kutoka kwa mama yake na kwenda night club, nadhani wakati akirudi alfajiri alizidiwa na usingizi na ndipo aka-crash kwenye lori na kufariki hapo hapo.
Ndio hivyo first born Senyangwa alikufa akiwa udsm kichwa kweli,akaja cathe,ippi,kuna mwingine binti,sasa huyu mwele ,watoto watano!!!!!!,Mungu amtie nguvu plus mkewe wa ndoa,
 
Yeye mwenyewe ni kichwa hasa usimchukulie poa,hata lemutuz ni kichwa sema bange tu
It's true naunga mkono hoja, ila sii wengi wanaomjua Le Mutus kwa karibu, ni kichwa mbaya!, hata huko kuonekana kama bangi, ndio kipaji chenyewe, lakini Le Mutuz mwenyewe in reality, sio tuu havuti bangi, bali havuti hata sigara, na sio mlevi kabisa!, hanywi pombe hivyo hana ulevi wa pombe, na ule ulevi mwingine wa ma babez, naomba huu nisiuzungumzie kulinda his right to privacy, ila ni mtu poa sana.
P
 
Usaliti wa wazi kabisa[emoji2]
 
Sawasawa..
 
It's true nikiwa mdogo nilikuwa nakuja sana Railway Gerezani, Mzee Kafwimbi (RIP), ni Baba Mkubwa. Enzi hizo nilikuwa primary, basi na wewe ni wa longi!. Utakuwa ni wa 70s, mimi ni wa 60s.
P


60,70s Hapana Baba / Babu /Uncle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, nimemaliza primary Mwaka 2001 in my early primary years shuleni walipenda kututambia kaka Yao anaonekana kwenye TV nikakalili
 
Basi kama unamfaham Rehema basi tulikuwa darasa moja vipi unaweza kujua classmates wetu wengine wako wapi Sasa hivi Mwanaidi Schmidt, Mwajuma Brooks, Tatu Waters, Mwamvua Maguire na Namsifu Cummings

Shule gani hiyo Mkuu , hayo majina ni mageni masikioni kwangu

Secondary nimesoma Mzizima na Primary nilisoma. olyimpio nikasoma tuition kariakoo
 
Kabisaa,kuna siku alikuja changanyikeni kwenye msiba noah yake ikapata pancha,nikamsaidia kufix tyre mwisho wa siku akataka kunipa elfu kumi nikakataa.tulipiga story kama tunajuana kitambo.
 
Sio kweli, amefariki na miaka 59, tarehe 26 March 2022 angeanza mwaka wake wa 60.
Hii hesabu ya wap jombi. Hyu hajafikisha 59 ila alikuwa anaelekea. Ni sawa na hesabu za decimal. 2.8 haiwez kuwa 3 never
 
Hii hesabu ya wap jombi. Hyu hajafikisha 59 ila alikuwa anaelekea. Ni sawa na hesabu za decimal. 2.8 haiwez kuwa 3 never
.....Hadi tarehe 26/03/1964 alikuwa amehitimisha mwaka moja, sasa endelea na hesabu utapata jibu. Hesabu za miaka zinasumbua wengi na hauko peke yako.
 
Dah!...vipi wewe umejitahidi kuwaweka pamoja watoto wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…