Leo nimekuelewa sana ndg yangu Mwiguli
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika
Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Aibu ya nini?Hivi hawa watu hizi kauli zao wanazoongea hawanaga aibu.
Tena amesema Samia anawafanyia fair like ingekuwa mwingine au yeye hakuna rangi wangeacha kuiona.
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika
Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Safi sana Mwigulu, akaze tu mambo yanawezekana na atapata nguvu ya kisiasaTena amesema Samia anawafangia fair lite ingekuwa mwingine au yeye hakuna rangi wangeacha kuiona.
Alikuwa anaizungumzia ule utaratibu wa eti mfanyabiashara akipitiliza miaka 3 aachwe,hiyo haipo
Kafanyaje?Na yeye je?
Kwanza Mimi Huwa napinga Hadi keshokutwa kuzuia task force,task force ziwepo Ili Kila mwananchi alipe Kodi akininunua.Safi sana Mwigulu, akaze tu mambo yanawezekana na atapata nguvu ya kisiasa
Juu ya nini? Hapo Kuna jeuri na majivuno yapi? Shenzi kabisa wewe Watumishi wenye vimishahara vidogo wanalipa kodi na hawana room ya kukwepa afu unasemaje?Dr Kigwangalla: Ukiwa Juu epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka
ππππ
Hadi alalamike hivi, maana yake ni kwamba watu hao wanaoachiwa wapo sana,; na hakuna lolote lililofanywa dhidi yao.
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika
Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Kuna wakati unaeleweka vizuri, kama ulivyoonyesha hapa. Sasa sielewi matatizo yako huwa yanatokana na kitu gani mara nyingi!Juu ya nini? Hapo Kuna jeuri na majivuno yapi? Shenzi kabisa wewe Watumishi wenye vimishahara vidogo wanalipa kodi na hawana room ya kukwepa afu unasemaje?
Ndio maana Huwa nawashangaa watu wasiodai risiti yaani nilipe Kodi nikufaidishe wewe kirahisi tuu?
Aanze na raisi ,Makamu na wabunge nk wasiokatwa kodi kwenye Mapato Yao walipe kodi stahiki hao ndio wakwepa Kodi Namba moja akiwemo yeye akamatwe