Tunataka atuambia kwanini Maafishabiashara wanakuwa revenue collectors kwenye Halmashauri badala kutoa Elimu ya biashara na namna ya kufanya biashara kwa wafanya biashara wetu wa aina zote,mitaji Iko wapi,solo liko wapi,mpangilio wa biashara sio huu wa Sasa unakuta mtaa mmoja una wafanya biashara 20 na wote wanauza;mkate,skonzi,maandazi,soda za azamu na moh. b)atueleze Kodi ya zuio aliyeilipa anaidai serikali inatakiwa ipunguzwe kwenye Kodi yake ya mapato c)Kwani mfanyabiasnhara alipe service levy"na happo happo alipe ushuru wa taka,tfda,leseni ya biashara,sewerage n.k d)V.A.T ,hii Kodi ya ongezeko la thamani iwepo mechanism ambapo mfanya biashara alipe net off tra badala ya kulipa total sum collected tra na Kisha aende kudai tofauti ya aliyolipa na aliyolipwa kwa niaba ya serikali tra.Sehemu kwa sehemu ila sehemu kubwa ya biashara zinafanyika kwa mtindo wa ujanja ujanja ,Kodi hazilipiki na tra Wala Hawana muda wa kutafiti kwanini wengi hawalipi Kodi.Nashauri serikali iangalie upya utozaji wa Kodi zingine ni nuincnce taxes&fee,disincentive,ifute zingine au iungnishe