Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shenzi mumeo Mkandamizaji 🤣🤣Juu ya nini? Hapo Kuna jeuri na majivuno yapi? Shenzi kabisa wewe Watumishi wenye vimishahara vidogo wanalipa kodi na hawana room ya kukwepa afu unasemaje?
Ndio maana Huwa nawashangaa watu wasiodai risiti yaani nilipe Kodi nikufaidishe wewe kirahisi tuu?
Yuko vizuri 👁😷Aje tumuuzie Simba awe na timu 3 ligi kuu
📌📌📌🔨 Shenzi mkubwa wewe tapeliShenzi mumeo Mkandamizaji 🤣🤣
Akili yangu ukoo wenu wote hamuwezi nifikiaKuna wakati unaeleweka vizuri, kama ulivyoonyesha hapa. Sasa sielewi matatizo yako huwa yanatokana na kitu gani mara nyingi!
Hivi ile fleet ya zile Esther Luxury Coach hakuna kodi zetu pale??
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika
Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Comments reserved

Sheria ikiwa ya kipumbavu inafutwa au kuingiliwa na Wanasiasa hata kama ndio sheria.Shida yao ni wakati wa Magufuli baadhi ya wanasiasa walikuwa wanakosoa utaratibu ambao upo kisheria na kusingizia Magufuli anawatuma TRA.
Wakati uhalisia Magufuli alikuwa aingilii taratibu za TRA yeye mwenye alijaribu kuingilia kesi moja mwanza ya mtu account yake kuingiliwa na TRA. Inavyoonekana baada ya kupewa somo sheria inaruhusu kurudi nyuma miaka mitano kwenye tax fraud investigation (ipo hivyo karibu dunia nzima) akakaa kimya, sana sana akabaki kuhimiza TRA kuacha uonevu na kufuata sheria.
‘Bi-tozo’ na team yake walipoingia wakaanza na uropokaji bila ya kufahamu taratibu za sheria ya ‘tax administration act’ na zingine za kodi zinasemaje huku wakitoa maagizo na maelekezo kinyume na sheria katika harakati zao za kumchafua raisi aliekuwepo.
Uongo una muda na kodi sio swala la mzaha ukwepaji kodi umerudi kwa nguvu inaonekana na TRA imeagizwa ifanye kazi na taratibu za investigation ni sheria ndio wanastuka alaa kumbe yale makelele ya 2015-21 ni porojo tu ule aukuwa uonevu bali ni sheria.
Lipa Kodi acha utotoHivi ile fleet ya zile Esther Luxury Coach hakuna kodi zetu pale??
Sijawahi kutokulipa kodi sijawahi kupigwa penalty my hands are clean. Utoto unao wewe kibaraka wa Mwigulu Nchemba .Lipa Kodi acha utoto
Hili bumunda bana uchumi unakufa liko bize kuvaa bendera
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika
Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Sasa story la Esther luxury zimekujaje? Unatoa allegations wakati huna ushahidiSijawahi kutokulipa kodi sijawahi kupigwa penalty my hands are clean. Utoto unao wewe kibaraka.
Namwona opportunist kwa pembeniDkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Esther una hasira sana leoSasa story la Esther luxury zimekujaje? Unatoa allegations wakati huna ushahidi