Dkt. Mwigullu Nchemba: Hatuwezi kumuacha mtu awe tajiri kwa kukusanya pesa za Watanzania

Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake

Ana mlalamikia nani hasa wabunge wa CCM au analalama🥲. Toeni elimu ya kodi kwa wafanyabiashara sio kutafuta kiki bungeni wakati kila kitu ni fake
 
Mh. Mwigulu kuna msemo wa kiingereza unaosema "ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kutupa mawe." Kwanza kabisa ninyi wabunge hamlipi kodi! Na wanasiasa wengi wakifanyiwa "life style audit" yaani kipato chenu na mali mlizonazo na maisha mnayoishi, mtatueleza hayo mabasi, timu za mpira zenye wachezajii mpaka kutoka Brazil na mambo mengineyo mengi mnayatoa wapi?... Ni kweli kodi lazima ilipwe ila pia itumike kwa haki! CCM mna maisha ya unafiki sana!
 
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Bila haya wanatumia ngao wanawake wajawazito

waziri wa fedha na hajui kama kuna kampuni inajipatia fedha kinyume ,halisi inaitwa tanganyika feki inaitwa the tanganyike na inabugia fedha zaumma na inapewa contro number
 
Sheria ikiwa ya kipumbavu inafutwa au kuingiliwa na Wanasiasa hata kama ndio sheria.

Ni jambo la ukweli kwamba Magufuli alikuwa anatumia TRA kufanya siasa za visasi lakini pia alitumia hii kufilisika wafanyabiashara Kwa madai ya zaidi ya miaka 5.

Kulea wafanyabiashara ni muhimu sana ila ulezi mzuri ni wa kuelimisha watu wadai risiti Ili pesa ya serikali ilipwe.

Ukienda Kwa Nguvu kijinga jinga kama Mwendazake ndio sababu wafanyabiashara na wawekezaji walikimbia and so utakosa vyote.
wakati ukisema hilo ukae ukijua kwamba hakuna raia ambaye atakubali option inayoumiza.

Unipe risiti halali ya huduma nilipie bidhaa million 1 au unipe risiti pungufu nilipe laki 8 ni wazi sitakubali kulipa million 1.
 
Hivi hawa watu hizi kauli zao wanazoongea hawanaga aibu.
Humo bungeni wengi wanaingia wakiwa wamelewa ama wana hangover, kwa hiyo wala hata usishangae kauli zao, vile vile wana uhakika wa posho hata wakiongea pumba na wanajua kabisa wapiga kura wao hawafuatilii ujinga unaoendelea kwenye hilo jumba
 
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Mwizi no 1 Tanganyika ni waziri wa fedha, anajichotea fedha za umma na kuzichezea hovyo kama kununua timu za mpira na kuzipeleka kwao
 
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Mwigulu jembe sana huyu jamaa
 
Kazi nzuri sana crde👏🏿
 
Anaupiga mwingi sana Mwigulu
 
Huyu bwana namkubali hata mimi
 
Kwa maelezo hayo ya Mwigulu hawezi eleweka na wabunge too generic and doesn’t make sense kwa mtu asie na basics za kodi.

Kitu cha msingi hapo katika majibu yake ni kuwaalika wataalamu kwenda kuwapa seminar ya kodi wabunge na taratibu za ukusanyaji.

They are all over the place waziri mwenyewe awezi tofautisha aina za kodi kati PAYE (income tax) and Value added Tax (VAT), anachanganya tu ndio maana kuna confusion na yeye ndio anapanga viwango vya hizo kodi. Sasa huyu ndio wakuelezea taratibu za TRA kweli kwenye utekelezaji wa shughuli zao hadi wabunge waelewe msingi wa hatua zao kwa kanuni za IFRS, IAS (hiyo sheria ya tax administration act sources yake ni hizo international standards) ndio maana hiyo sheria inafanana karibu nchi zote duniani.

Iła watanzania ni slow learners how often watu waelezee haya mambo. Hii ndio tofauti ya January Makamba na wenzie. January akikutana na technical advise anaruka nayo anaenda jiongeza zaidi kwenye hilo swala halafu akipata ulingo hiyo hoja anaielezea kwa ujuaji utadhani alikuwa anafahamu hilo jambo all the while (hizo ni dalili za mtu mwenye elimu open to new ideas). Waliobaki ni slow learners can’t tell difference between a bad and good advice kwa sababu wao wenyewe vilaza including huyo Mwigulu.
Sijakuelewa kabisa hapo
 
Juu ya nini? Hapo Kuna jeuri na majivuno yapi? Shenzi kabisa wewe Watumishi wenye vimishahara vidogo wanalipa kodi na hawana room ya kukwepa afu unasemaje?

Ndio maana Huwa nawashangaa watu wasiodai risiti yaani nilipe Kodi nikufaidishe wewe kirahisi tuu?
Sasa kwanini huwa mnawashambulia kina lema, Lissu na mwamba Mbowe?
 
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Safi Sana
 
Back
Top Bottom