Dkt. Mwigullu Nchemba: Hatuwezi kumuacha mtu awe tajiri kwa kukusanya pesa za Watanzania



Ana mlalamikia nani hasa wabunge wa CCM au analalama🥲. Toeni elimu ya kodi kwa wafanyabiashara sio kutafuta kiki bungeni wakati kila kitu ni fake
 
Mh. Mwigulu kuna msemo wa kiingereza unaosema "ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kutupa mawe." Kwanza kabisa ninyi wabunge hamlipi kodi! Na wanasiasa wengi wakifanyiwa "life style audit" yaani kipato chenu na mali mlizonazo na maisha mnayoishi, mtatueleza hayo mabasi, timu za mpira zenye wachezajii mpaka kutoka Brazil na mambo mengineyo mengi mnayatoa wapi?... Ni kweli kodi lazima ilipwe ila pia itumike kwa haki! CCM mna maisha ya unafiki sana!
 
Bila haya wanatumia ngao wanawake wajawazito

waziri wa fedha na hajui kama kuna kampuni inajipatia fedha kinyume ,halisi inaitwa tanganyika feki inaitwa the tanganyike na inabugia fedha zaumma na inapewa contro number
 
wakati ukisema hilo ukae ukijua kwamba hakuna raia ambaye atakubali option inayoumiza.

Unipe risiti halali ya huduma nilipie bidhaa million 1 au unipe risiti pungufu nilipe laki 8 ni wazi sitakubali kulipa million 1.
 
Hivi hawa watu hizi kauli zao wanazoongea hawanaga aibu.
Humo bungeni wengi wanaingia wakiwa wamelewa ama wana hangover, kwa hiyo wala hata usishangae kauli zao, vile vile wana uhakika wa posho hata wakiongea pumba na wanajua kabisa wapiga kura wao hawafuatilii ujinga unaoendelea kwenye hilo jumba
 
Mwizi no 1 Tanganyika ni waziri wa fedha, anajichotea fedha za umma na kuzichezea hovyo kama kununua timu za mpira na kuzipeleka kwao
 
Mwigulu jembe sana huyu jamaa
 
Kazi nzuri sana crde👏🏿
 
Anaupiga mwingi sana Mwigulu
 
Huyu bwana namkubali hata mimi
 
Sijakuelewa kabisa hapo
 
Sasa kwanini huwa mnawashambulia kina lema, Lissu na mwamba Mbowe?
 
Safi Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…