Watumiaji ni watanzaniaKuna kitu amekisema kina ukakasi mbaya sana: kusamehe kodi kwa nyasi bandia kwa viwanja vya michezo/mpira kadhaa kama Arusha, Mwanza, Mbeya n.k. Maana yake ni kwamba ccm inaweka nyasi bandia viwanja vyake bila kulipia kodi.
What ??Lakini haiingii akilini unamfanyia interview kwa kiingereza wakati kazini kwake atatumia kiswahili kitupu muda wote.
Sidhani
Shule za msingi wote darasa la saba hupewa mitihani mmoja wa taifa uwe umesoma kwa kiingereza au kiswahili
Wa kiingereza hupewa mitihani kwa kingereza alichosomea na aliyesoma kiswahili hupewa mtihani ule ule
Kaangalie matokeo ya darasa la Saba kitaifa shule ambazo huongoza kitaifa ni shule za msingi za kiingereza
Kwanini wasipendekeze hivyo wenye taaluma za kada husika mpaka iwe kwa wanasiasa kila siku hapa tz, hili nalo ni tatizo kwa maslahi ya taaluma za watu wanao sahiliwa.Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili.
Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
English, KWANINI WATANZANIA WANASHINDWA KITU KAMA LUGHA KUJIFUNZA?Utachagua itumike lugha gani wakati wa usahili
Hata kama kinatambulika SADC au AU, bado kiswahili hakifai kwa kufundishia, kuna vitu vingi vinakosekana kwenye lugha ya kiswahili....maneno mengi ya science. Ebu acheni siasa, watoto wenu mnawafunza English, wetu wakajifunze Kiswahili? Huu ni ujinga mkubwa, kwani tukitumia English kuanzia darasa la kwanza tatizo lipo wapi? Pia kujua lugha zaidi ya moja ni kosa? Kuna rafiki anajua lugha tano...na huko kwenye kazi anapeta ile mbaya, yaani English ipo juu, French, Kiswahili, Kinyarwanda, Luganda na Espanol. Mbona hajapungukiwa chochote....mbona kuna watu wanaongea lugha zetu za kikabila vizuri, kwanini tushindwe English lugha rahisi, hapo uweze kupata kazi nzuri? Acheni uvivu watanzania.Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili.
Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
na watoto wote wa watumishi wa Serikali wasomeshwe kwa kiswahili katika shule zetu za umma ili tuenzi lugha yetu ya kiswahili inayokua kila kukicha katika ukanda wa SADC.
Mtumishi yoyote wa umma atakayebainika anasomesha watoto wake shule za Private kwa lugha ya kigeni basi huyo anakizana na Sera yetu ya kukuza kiswahili na si Mzalendo.
Nchi hii unafiki umejaa hasa wa viongozi
Wabunge wote,viongozi wa Serikali na mahakama watoto wao wanasoma English medium halafu kinafiki wanasisitiza kiswahili mbona hawapeleki watoto wao shule za kiswahili? Hata wakifaulu kwenda sekondari za Serikali hawataki wanapeleka shule private
Kuondoa unafiki shule zote za Serikali zibadilishwe kuwa English medium
ASANTE BABA!!Hata kama kinatambulika SADC au AU, bado kiswahili hakifai kwa kufundishia, kuna vitu vingi vinakosekana kwenye lugha ya kiswahili....maneno mengi ya science. Ebu acheni siasa, watoto wenu mnawafunza English, wetu wakajifunze Kiswahili? Huu ni ujinga mkubwa, kwani tukitumia English kuanzia darasa la kwanza tatizo lipo wapi? Pia kujua lugha zaidi ya moja ni kosa? Kuna rafiki anajua lugha tano...na huko kwenye kazi anapeta ile mbaya, yaani English ipo juu, French, Kiswahili, Kinyarwanda, Luganda na Espanol. Mbona hajapungukiwa chochote....mbona kuna watu wanaongea lugha zetu za kikabila vizuri, kwanini tushindwe English lugha rahisi, hapo uweze kupata kazi nzuri? Acheni uvivu watanzania.
Mimi nazungumzia kodi wewe unazungumzia timu. Kwahiyo kwasababu ccm haina timu ndio isilipe kodi kwa nyasi bandia itakayoingiza?CCM haina timu bwashee.