Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Mwigulu anawatoa watanzania wasijadili hoja za msingi kama kodi za LUKU na line za simu badala yake mjadili watu kama Mobeto na Kumwembe.
 
Amekosa vijana waliosoma uchumi udsm?

Amekosa wafanyabiashara wa kati wenye influence kwenye jamii

Ata Mimi anganiteua hii kazi ningeifanya vizuri sana maana nalipa kodi kwa mwaka sio chini ya million 50.
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Tulisema humu ngoma ya watoto haikeshi,huyu Mama alivyopata urais kaanza kuponda misingi aliyoikuta ya ukusanyaji wa kodi,kaanza nakutukana TRA kuwa hawatumii weredi ktk kukusanya kodi, wakati hata Ulaya anakotegema msaada hawabembelezi Mtu/wafanyabiashara kulipa kodi,yeye eti watu walipe kodi kwa hiyari.

Sasa hivi anaanza kuteua vikundi vya wasanii eti waende mitaani kuamashisha watu kulipa kodi,huu ni upotevu mkuu wa mapato yetu , wakati watu wenyewe hawana elimu ya kuelimisha jinsi ya kulipa kodi, Kodi inakusanywa kwa taratibu na mujibu wa Sheria,sio vikundi vya ngoma wala wasanii,Hapa atuna Rais tuna rais wa Wasanii.
 


Hao maslay queens ni walipakodi?

Inawezekana hata msingi wa hoja inayojadiliwa huuelewi.
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.


Mbwana Samatta


Hamisa Mobetto


Edo Kumwembe
 
Hayati alipomchagua jokate kuna binadam walitoka mapovu sana, lakini sahvi wanasifu juhudi za jokate, acha tuone na huyu muda utaongea.
 
Kwa taarifa yako, waliosoma ndio wajinga zaidi.
 
Mwigulu na hii Wizara ni sawa na Sisimizi kubebeshwa Mlima Kilimanjaro, yaani hapo ndio kafikia mwisho wa kuwaza, yaan bora angetafuta Wafanya biashara maarufu kama kina MO wahamasishe wafanyabiashara wenzao kulipa kodi sio hizi ujinga
 
Kimeumana sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
warumi njoo huku shoga kidawa kapata teuzi, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…