Mtu ana wake wawili halafu mshauri wa askofu hii ni hatari sana waungwana!!.Ndio maana saa nyingine ukiangalia yanayofanywa na maaskof unaweza kushangaa,kumbe jamaa ndie alikuwa mshauriHapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void
Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Nakubaliana na wewe, lakini Serikali itatumia apparatus gani katika kubaini uhalali wa itakayoshirikiana naye zaidi ya taarifa zilizo kwenye database yao? Kumbuka hatuongelei mambo ya mirathi au dini hapa.Hapa sio taarifa tena bali itaangaliwa sheria
Mnamwonea Marehemu alishaachana na mke mkubwa tangu 2005 kama sikosei wakati nilipokuwa karibu naye kabla hata hajawa Spika...Leo huyo adai ni mke hata akili zake ziko timamu kweli? Well mambo ya ngoswe tumwachie ngoswe. Ila watu wa mlima kwenye Mali hawanaga aibu aise?Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void
Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Inategemea alikuwa ni askofu wa kanisa lipi hasa?Mtu ana wake wawili halafu mshauri wa askofu hii ni hatari sana waungwana!!.Ndio maana saa nyingine ukiangalia yanayofanywa na maaskof unaweza kushangaa,kumbe jamaa ndie alikuwa mshauri
Sema kama wanavyopindisha kwenye kesi ya Tundu Lissu.Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void
Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Serikali yenyewe wamejaa vilaza watupu kuamzia juu hadi chini unategemea niniMarehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .
Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.
Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .
Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
Kwanini.!?Wewe siyo mzima kichwani
Una uhakika aliachana nae kisheria? ndoa hupotei kwa maneno kuna taratibuMnamwonea Marehemu alishaachana na mke mkubwa tangu 2005 kama sikosei wakati nilipokuwa karibu naye kabla hata hajawa Spika...Leo huyo adai ni mke hata akili zake ziko timamu kweli? Well mambo ya ngoswe tumwachie ngoswe. Ila watu wa mlima kwenye Mali hawanaga aibu aise?
Unadhani ni rahis kushauri maaskofu? Tena inategemea wa kanisa gani, i doupt kama ni wa catholic, hawachukuagi ushauri kwa watu amabo wanajua hata kiakili ni dhaifuMtu ana wake wawili halafu mshauri wa askofu hii ni hatari sana waungwana!!.Ndio maana saa nyingine ukiangalia yanayofanywa na maaskof unaweza kushangaa,kumbe jamaa ndie alikuwa mshauri
Sheria inamtambua Mke wa KwanzaNani kakwambia? Dogo labda hujaoa au hujawahi shiriki hizo kesi. sheria zinamtanbua mke wa kwanza, haswa kama haikuvunjwa kisheria
Next of kin ni formalities ila haina power kama cheti.
Muwe mnajitahid kuresolve haya mambo msije sumbua watoto mbeleni
Baas umemalizaSheria inamtambua Mke wa Kwanza
Kamtafute Joyce Kiria hukoMarehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .
Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.
Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .
Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake zaiidi ya mmoja kama waislam?Mke wa pili anatambuliwa na serekali.
Mke wa kwanza anatambuliwa na Church.
Madhara ya uzinifu katika Uislamu ni makubwa na yanaathiri mtu binafsi, familia, na jamii kwa ujumla. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo muhimu:Marehemu Ndungai ndo kamtenga mke wake; Ukiamua kuishi kama Kangaroo ndo matokeo yake haya.
Actually serikali inamheshimisha kwa kufanya hivyo, na ni sahihi, hakuna Ukristo wa hivyo.
RC ile yenyewe ni dini dola haiitaji ushauri wa walei,tena watautupilia mbali wale jamaa we acha tu!!.Ila kwa Anglican inawezekana kwa kiasi fulaniUnadhani ni rahis kushauri maaskofu? Tena inategemea wa kanisa gani, i doupt kama ni wa catholic, hawachukuagi ushauri kwa watu amabo wanajua hata kiakili ni dhaifu
+ ukristo hautambui ndoa mbili, ndoa wanayo itambua ni ya kanisani
Wewe kweli poyoyo first classMarehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .
Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.
Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .
Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
Mchanga kaona ghorofaWewe kweli poyoyo first class
Ndugai alishamtambullisha mara kadhaa mke mdogo/mpya mbele ya halaiki ikiwemo bungeni
Sasa ikiwa Marehemu enzi ya uhai wake alishaonesha mapenzi, mahaba na utambuzi kwa bi Fatma, wewe ni nani kuanza kuhukumu viongozi wa Serikali kutomtambua huyó mamá mwingne ambae hatumjui..!!??