Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void
Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Ulifahamu vipi kwamba ndoa ya kwanza haikuvunjwa?Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Kuna mmoja alitambulishwa Officially. Zimetumikabdocument na taarifa za mwajiri kuhandle the matter . Kwenye Masjala ya Siri alimjaza Dr Fatma as official wife. Unataka Serikali ifanye niniMarehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .
Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.
Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .
Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
Atakuwa mchaga mwezake anampambaniaKama Ndugai mwenyewe alimtambulisha mke mdogo kiserikali na kumtenga mke mkubwa, wewe unataka kuforce wamtambue?!
😂😂😂Watu mna laaaanaKwanini.!?
Inawezekana mleta mada ndiye huyo mke mkubwa. Ana haki ya kulalamika kama anaona hapati anachostahili.
Kwani ni lazima awe alikuwa ameolewa mahali?Huyu maza kabla ya ndugai alikua kaolewa wapi kwani
Thibitisha,, Tafuta Uzi wa ndugai humu alitelekeza familia huko kaenda uparenii, mrewedii Mbaga Jr ushafk kwa shemeji yako?Yule mama wa kichaga ni tapeli...
Nguvu itakayotumika ndio hio hio ya kupindisha. Nilishahisi tu kuwa ile mbanga itakula kwa Manka wa Kichaga tu.Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void
Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Misiba huwa inaweka siri za familia wazi, madudu yote huwa yanajulikanaMisiba inaumbua watu, stori za maisha zinaanikwa wazi.
Hiyo ni personal life yake , kaumbuka na nini.?Misiba inaumbua watu, stori za maisha zinaanikwa wazi.
Sio kwelMisiba huwa inaweka siri za familia wazi, madudu yote huwa yanajulikana
Ndoa ya bomani/serikalini inatambulika na serikali kuliko ndoa ya mila(dini) sababu serikali wameisimamia wenyeweHapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void
Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Hahaha huna elimu na ndoa ya kanisani. Ndo ya kanisani inatambulika kiesheria pia, tena ina cheti cha serikaliNdoa ya bomani/serikalini inatambulika na serikali kuliko ndoa ya mila(dini) sababu serikali wameisimamia wenyewe
You will be suprised, misiba ya familia za kibongo mengi hujilikanaSio kwel
KwasababuYou will be suprised, misiba ya familia za kibongo mengi hujilikana