DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

View: https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA

DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

​

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa 15 wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Julai 24, 2026.
 
Haki kwanza na Amani itapatikana,Na nchi itasonga mbele Kwa wivu mkubwa wa maendeleo,Usiwe mdomoni tuu na matendo yaonekana dhahiri hata adui ajue, Hakika Tanzania ni Nchi yenye Haki na Amani Mungu tubariki.
amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.😂🔥
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA

DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu
View attachment 3635861
​

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa 15 wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Julai 24, 2026.

Huwa namwelewa huyu mkuu. I think he's pressing on something, he also has course
 
Yes sio wa kuwaamini 100%
Nchimbi ana mawazo yake huru.

Kipind kile cha Kukatwa jina la Lowasaa aliitisha press jion yake na kupinga maamuzi ya kamati kuu kukata jina la Lowassa.

Wakamwita kamati ya maadili na kupewa onyo pamoja na kuambiwa asigombee miaka kwa minne nafasi ya uongozi wowote ndan ya CCM.

na always Nchimbi hayuko sawia na Mama. Aliyoko Sawia ni PM wa sasa.

Ingawa Magufuli alijitahidi sana kufuta makund ndan ya CCM.
Alivyokufa tu ni kama makund yamerudi.

Nchimbi ni CCM ile mtandao. (Ile Team iliyokuwa na wafanyabiashara wakubwa akina Rostam, wanasiasa wakina Chenge, Membe, Lowassa, mwakyembe)

Na kwa sasa Team Nchemba ni wale viongoz waCCM wanaomsupport Mama kwa kila namna. Na ambao hawako neutral.
(Makonda, Wassira, etc).

Kwa upande mwingne.
Kwasababu washapewa nyadhifa za juu. Inawezekana kabisa hawa wote wawil wasipewe nafas 2030.
 
Hii vita ya 2030 imeanza mapema kila mtu anacheza kwa uangalifu nchimbi kwa pigo moja chali nchemba kwa hoja anyway kuna mmoja ataishiwa pawa baada ya miaka miwili
Inawezekana wote wawili wakakatwa.

Rais ajaye atakuwa mwanaume mkristo. Ila sio kati ya hao.
 
Back
Top Bottom