backbenchers
Member
- May 9, 2024
- 60
- 39
Hata siku 1 siwezi muamini mwanasiasa, hata akisema nje kuna mvua lazma nitokea nje nkahakiki, ndio tuseme makamu wa raisi anaweza kwenda kinyume na raisi?
Inakuwaje hapa kama anamtema mama kiaina, na sio mara ya kqanza mchimbi kuongelea mambo kama haya, kwamba anajua kabsa kuwa watanganyika tunakandamizwa ma serikali iliyopo madarakani, ila anabaki kuongelea tu hamna hatua yoyote inayochukuliwa
Kingine usikute anataka kutete nafasi yake kugombea uraisi huko mbeleni, so anatupoza poza kwa haya maneno
Watu tunataka vitwndo vya mabadiliko, sio porojoporojo tu, halafu hali inabaki pale pale
#hatujasahau29Oct
#backbenchers