Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kumbe wanajua, Sasa mbona wanaenda kinyume!
Alaf tukiwaambia kuna team Nchimbi na Team Nchemba (kipenz cha Mama) wanaruka ruka.Tlaahtlaah na Lukas mwashambwa,mmesikiaa!Acheni kushupaza shingo,mabadiliko ni lazima!
amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.😂🔥Haki kwanza na Amani itapatikana,Na nchi itasonga mbele Kwa wivu mkubwa wa maendeleo,Usiwe mdomoni tuu na matendo yaonekana dhahiri hata adui ajue, Hakika Tanzania ni Nchi yenye Haki na Amani Mungu tubariki.
Tusingejua afadhali kamwaga radhi hadharani🔥💪🏿Tukubali kutofautiana ingefaa awaambie CCM wenzake kwenye kikao cha Kamati Kuu.
Nina mashaka asije kuwa anatuchezea akili.Tusingejua afadhali kamwaga radhi hadharani🔥💪🏿
Makame mbalawaAlaf tukiwaambia kuna team Nchimbi na Team Nchemba (kipenz cha Mama) wanaruka ruka.
Na Znz Raisi ajaye ni Hamad Masauni.
Muda utaongea.
Yes sio wa kuwaamini 100%Nina mashaka asije kuwa anatuchezea akili.
Huyu anajua kuna kutetea kiti hapo mbeleni, Samuya hajari mana keshamaliza nngwe zake na anauhakika wa kupata penshenNina mashaka asije kuwa anatuchezea akili.
Huwa namwelewa huyu mkuu. I think he's pressing on something, he also has courseMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa 15 wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Julai 24, 2026.
View: https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA
DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu
View attachment 3635861
Nchimbi ana mawazo yake huru.Yes sio wa kuwaamini 100%
Inawezekana wote wawili wakakatwa.Hii vita ya 2030 imeanza mapema kila mtu anacheza kwa uangalifu nchimbi kwa pigo moja chali nchemba kwa hoja anyway kuna mmoja ataishiwa pawa baada ya miaka miwili