Uchawa hautaweza kubadilisha ukweli. Tanzania hali mbaya sana ba rushwa imezidiongelea Zanzibar kumbe nilifikiri anaongea Tanzania nzima maana umasikini bado ni mkubwa sana ruhswa kubwa, hakuna haki, mikataba ya siri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawa hautaweza kubadilisha ukweli. Tanzania hali mbaya sana ba rushwa imezidiongelea Zanzibar kumbe nilifikiri anaongea Tanzania nzima maana umasikini bado ni mkubwa sana ruhswa kubwa, hakuna haki, mikataba ya siri.
Watu wanataka pesa kama hivi sio huo ujinga ujinga wenu 👇👇Vijimaneno sio maendeleo. Watu wanataka wachague watu wao kwa haki, mikataba iwe wazi na serikali ipigane na rushwa sio kutuletea vijimaneno na uchawa uchawa. Hii ndiyo sababu Watanzania wengi wameacha kuwasikiliza
Watu wanataka pesa kama hivi sio huo ujinga ujinga wenu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DF0blC3N2_m/?igsh=MTRkcHBjMndzbHBvMw==