Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ongelea Zanzibar kumbe nilifikiri anaongea Tanzania nzima maana umasikini bado ni mkubwa sana ruhswa kubwa, hakuna haki, mikataba ya siri.
Uchawa hautaweza kubadilisha ukweli. Tanzania hali mbaya sana ba rushwa imezidi
 
Kampasi ya Chuo Kikuu Cha Mwl.Nyerere Njombe 👇 👇

View: https://www.facebook.com/share/v/192bZgPzv3/
Screenshot_20250225-072609.jpg
 
Back
Top Bottom