PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bull crap!
Walizuiwa kumtetea au walizuiwa kuingia nchini?
 
Nani hapa hana akili kabisa, Ndumbaru au aliyemuona Ndumbaru ana akili akamteua?
Huyo aliyemteua ndiyo bongo lala kabisa na ndiyo sababu teuzi zake zote ni boko! Jaji Mkuu feki! Mwanasheria Mkuu feki! CEOs feki! Yaani ni feki! feki! feki!
 
Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite
 
hivi ukiomba visa ya marekani wakakunyima huwa wanakueleza sababu ni nini? mlishafungua kesi kuishitaki marekani kwa kuwanyima visa, tuna right to reserve entrece, ni kama unaingia hotelini au club wana haki ya kukuzuia kuingia bila kukuambia sababu, sembuse nchi,

mwanamziki wa marekani snoopy doggy doggy alizuiliwa kuingia uingereza pamoja na kuwa na visa na alikuwa na concert alizuiliwa na akaondoshwa pasikuelezwa sababu, sie mujiumauma kueleza sababu ni upuuzi tu hatuhitaji kueleza mwanini martha alikataliwa visa.
 
Huyu jamaa ni mjinga sijawahi kuona na mwizi mkubwa nashangaa system inamuacha anatembea hovyo. Ameshiriki kwa kiwango kikubwa kuimaliza TAZARA. Daktari wa OUT akili zake kuja kutwa kujipendekeza kama Jenista Mhagama.
 
Hii nchi mkoloni sjui aliwaza nini kuiachia
 
Huyu mwenye access naye amwambie ni kiazi wapi walisema wanakuja ku fanya uwakili
 
Kwani walisema wanaenda kumtetea Lisu au kusikiliza mwenendo wa kesi tu?
Nchi hii imejaa ramli sana
 
Haya yote ni ile vita ya uchumi aliyokuwa anaongelea Magufuli. Tanzania ikivurugika, Kenya itafaidika sana kiuchumi. Ndiyo maana Wakenya wako mstari wa mbele kuchochea vurugu Tanzania. Maana Tanzania ikivurugika, watalii wetu watahamia Kenya, wawekezaji wetu watakimbilia Kenya, mizigo inayopitia bandari ya Dar kwenda nchi jirani itahamia Mombasa, na mengine mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…