Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Una uhakika anakuwakilisha huko bungeni kweli au ameenda kumaliza shida zake ?
Hapo Sasa ndio tatizo mkuu nadhan analiwakilisha tumbo lake kupitia Jimbo la songea mjini

Mkuu 80% ya wawakilishi wetu nyanja zote iwe udiwan au ubunge wanawakilisha matumbo yao na ya familia zao tuuu

15% wanawakilisha matumbo yao na wananchi

5% wanawakilisha wananchi
 
Mungai si tu alifuta michezo, hata zile technical school ziliondolewa ile mitaala ya ufundi.
 
Huu ni mwendelezo wa chuki dhidi ya watu wa Kaskazini. Mi nashauri hata na Mlima Kilimanjaro ahamishie Songea kama itawasaidia kuwa karibu na watalii toka Malawi na Mozambique
Na ndumbaro ana chuki na watu wa kasikazini, si mlisema ni wasukuma tu ndo wanawachukia

NB: tukiondoa chuki na ukabila waziri ana hoja ya msingi.
 
Dumbaro ni empty set a.k.a empty box aisee hyo PhD yake sijui alisomea wapi hivi unahamishaje chuo badala ya kujitahidi kujenga other branches kwa kusingizio eti Cha miti loh
 
Na ndumbaro ana chuki na watu wa kasikazini, si mlisema ni wasukuma tu ndo wanawachukia

NB: tukiondoa chuki na ukabila waziri ana hoja ya msingi.
Basi hata chuo cha Madini Dodoma kihamishiwe Kahama. Kwa nn asianzishe chuo kama hicho huko Mafinga?

Kichwa naona unafugia nywele tu.
 
Mbunge wa Moshi mjini ni nani?
Hawa wabunge waliopitishwa kinguvu na tume ya uchaguzi ni mzigo kwa taifa
 
Basi hata chuo cha Madini Dodoma kihamishiwe Kahama. Kwa nn asianzishe chuo kama hicho huko Mafinga?

Kichwa naona unafugia nywele tu.
Kuanzisha kipya kuna taratibu zake, kuhamisha ni rahisi zaidi.
 
Joseph Mungai aliunganisha masomo ya science yakawa physics with chemistry kitu ambacho kilifanyika only in Tanzania. Nchi yangu inahitaji maombi wasomi wetu wamekuwa wajinga kuliko ambao hawajaenda shule
 
Ndumbaro anarudisha favor kwao kwa kunyang'anya sehemu nyingine huyo ni kiazi wallah
 
OUT PHD ya Open University hiyo.
 
Hivi kwanini mnashindwa kusoma hoja za msingi za waziri,

Naona wote mmejikita kwenye ukabila

Nashukuru waziri si msukuma maana mngepata pa kujifichia,

Wekeni hoja kinzani za msingi mumshauri waziri.
 
Sio tuu kuhamia Iringa bali Ihamie Njombe au Mafinga..huko uchagani hakuna misitu yoyote usitupigie makelele hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…