Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Una uhakika anakuwakilisha huko bungeni kweli au ameenda kumaliza shida zake ?
Hapo Sasa ndio tatizo mkuu nadhan analiwakilisha tumbo lake kupitia Jimbo la songea mjini

Mkuu 80% ya wawakilishi wetu nyanja zote iwe udiwan au ubunge wanawakilisha matumbo yao na ya familia zao tuuu

15% wanawakilisha matumbo yao na wananchi

5% wanawakilisha wananchi
 
Mungai si tu alifuta michezo, hata zile technical school ziliondolewa ile mitaala ya ufundi.
Mkuu umeua

Hofu yangu mmoja wao anaweza akawa prezidaa Kama Dr stone halafu akauza nchi kabisa

Hivi yule wazir wa elimu wa Tanzania lakn n mkenya kiasili ambaye alifuta michezo mashuleni na kuunganisha masomo hivyohovyo alikuwa anaitwa Nani vile?

Nchi hii hata waziri anaweza akashauri tule mavi na mamlaka zikaafki tu
 
Huu ni mwendelezo wa chuki dhidi ya watu wa Kaskazini. Mi nashauri hata na Mlima Kilimanjaro ahamishie Songea kama itawasaidia kuwa karibu na watalii toka Malawi na Mozambique
Na ndumbaro ana chuki na watu wa kasikazini, si mlisema ni wasukuma tu ndo wanawachukia

NB: tukiondoa chuki na ukabila waziri ana hoja ya msingi.
 
Kuna wakati huwa nawaelewa Sana msukuma na kibajaji wanapowaamba ukweli hawa professors and PhD holders sijui wanatumia nn kufikiri

Wakat dunia inaenda kasi katika elimu wao wanairudisha dunia kuwa kuwa ya mwaka 1990

Kifupi hakuna haja ya kuhamisha chuo badala yake waongeze fursa ya elimu ya misitu maeneo mengine Zaid ili tuwe na vyuo vingi

Kama hali n hyo bas hata chuo cha OLMOTONYI ARUSHA hakitakiwi kuwa pale kiende iringa maana misitu s ndio ipo huko

Kozi ya mifugo haikutakiwa kuwa CHUO CHA MIFUGO TEMEKE ..LITA.sababu wafugaji wakubwa hawapo huko TEMEKE

Hizi PhD jaman tuwe nazo makini Sana Kuna siku watafanya Jambo la kushangaza tutakuwa tumechelewa kubaini
Dumbaro ni empty set a.k.a empty box aisee hyo PhD yake sijui alisomea wapi hivi unahamishaje chuo badala ya kujitahidi kujenga other branches kwa kusingizio eti Cha miti loh
 
Na ndumbaro ana chuki na watu wa kasikazini, si mlisema ni wasukuma tu ndo wanawachukia

NB: tukiondoa chuki na ukabila waziri ana hoja ya msingi.
Basi hata chuo cha Madini Dodoma kihamishiwe Kahama. Kwa nn asianzishe chuo kama hicho huko Mafinga?

Kichwa naona unafugia nywele tu.
 
Kuhamishwa Kwa chuo cha FITI kilichopo huko Moshi Kilimanjaro,Litakuwa ni pigo la kwanza la kumuondoa ubunge mbunge mwaka 2025 aliyeko madarakani bila kupepesa macho. Mbunge huyo alihaidi miradi kibao ikiwepo hospital ya wilaya,mikopo Kwa Boda Boda, mafunzo Kwa wapangazi wa mlima Kilimanjaro, ujenzi wa ofisi za chama wilaya, mikopo Kwa vikundi , kugufua viwanda karibua 20 vilivyo kufa, Ila hadi Leo hajafanya Chocho te amekuwa msindikizaji huko bungeni Sasa anasimamia chuo kinahamishiwa iringa.
Mbunge wa Moshi mjini ni nani?
Hawa wabunge waliopitishwa kinguvu na tume ya uchaguzi ni mzigo kwa taifa
 
Basi hata chuo cha Madini Dodoma kihamishiwe Kahama. Kwa nn asianzishe chuo kama hicho huko Mafinga?

Kichwa naona unafugia nywele tu.
Kuanzisha kipya kuna taratibu zake, kuhamisha ni rahisi zaidi.
 
Mkuu umeua

Hofu yangu mmoja wao anaweza akawa prezidaa Kama Dr stone halafu akauza nchi kabisa

Hivi yule wazir wa elimu wa Tanzania lakn n mkenya kiasili ambaye alifuta michezo mashuleni na kuunganisha masomo hivyohovyo alikuwa anaitwa Nani vile?

Nchi hii hata waziri anaweza akashauri tule mavi na mamlaka zikaafki tu
Joseph Mungai aliunganisha masomo ya science yakawa physics with chemistry kitu ambacho kilifanyika only in Tanzania. Nchi yangu inahitaji maombi wasomi wetu wamekuwa wajinga kuliko ambao hawajaenda shule
 
Mleta mada kiukweli bado ile hangover ya wasukuma bado inaitesa hii serikali tulivu na isiyo na mambo ya hovyo kama mtangulizi wake.
lazima ieleweke kuwa FITI imekuwa pale kwa miaka mingi na ina manufaa mengi hata kwa ustawi wa Mt Kilimanjaro.
Haya maamuzi ya kipuuzi ya viongozi wetu ni ya ajabu na ya kupigwa vita, sidhani kama mama Samia atakubali huu upuiuzi.
Huenda Ngumbaro anataka kuisogeza karibu na kwao au hajui mchezo ulio nyuma yake.
Ndumbaro anarudisha favor kwao kwa kunyang'anya sehemu nyingine huyo ni kiazi wallah
 
Kuna wakati huwa nawaelewa Sana msukuma na kibajaji wanapowaamba ukweli hawa professors and PhD holders sijui wanatumia nn kufikiri

Wakat dunia inaenda kasi katika elimu wao wanairudisha dunia kuwa kuwa ya mwaka 1990

Kifupi hakuna haja ya kuhamisha chuo badala yake waongeze fursa ya elimu ya misitu maeneo mengine Zaid ili tuwe na vyuo vingi

Kama hali n hyo bas hata chuo cha OLMOTONYI ARUSHA hakitakiwi kuwa pale kiende iringa maana misitu s ndio ipo huko

Kozi ya mifugo haikutakiwa kuwa CHUO CHA MIFUGO TEMEKE ..LITA.sababu wafugaji wakubwa hawapo huko TEMEKE

Hizi PhD jaman tuwe nazo makini Sana Kuna siku watafanya Jambo la kushangaza tutakuwa tumechelewa kubaini
OUT PHD ya Open University hiyo.
 
Hivi kwanini mnashindwa kusoma hoja za msingi za waziri,

Naona wote mmejikita kwenye ukabila

Nashukuru waziri si msukuma maana mngepata pa kujifichia,

Wekeni hoja kinzani za msingi mumshauri waziri.
 
Sio tuu kuhamia Iringa bali Ihamie Njombe au Mafinga..huko uchagani hakuna misitu yoyote usitupigie makelele hapa
 
Back
Top Bottom