Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Walifutandio wale wale walifuta michezo shuleni alafu baadae wakaja kuzomewa.
- Michezo
- Masomo ya ufundi Iyunga, Ifunda nk
- Masomo ya biashara
- Masomo ya kilimo
- Masomo sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifutandio wale wale walifuta michezo shuleni alafu baadae wakaja kuzomewa.
Hicho chuo umeambiwa kimeanzishwa mwaka 1975 kwahiyo lazima kuna vigezo vilitumika tofauti na hapo ni hisia zako.na sasa kama wewe unaona njombe kuna msitu mkubwa anzisheni cha kwenu uko njombe sio kuhamisha kilichoko.Hoja yako haina maana zaidi ya ubadhirifu wa fedha.Wapi. Zama zimechenji mzee zama za kurundika taasisi za umma Moshi zimeisha. Sasa ni zama za even development. Njombe inaongoza kwa mistu East Africa lakini wajanja wakapeleka chuo kwao.
Hiyo siyo sababu ya kuhamisha. Wajenge hizo taasisi na huko ambako hakuna. Watu si wanaongezeka.Kuna mikoa haina taasisi ya umma hata mmoja. Sasa mikoa iliyorundikiwa taasisi itulie kwanza.
Aisee kudumu kwake basi ni ngekewa na huo umafya wake una msaidia hafu ana kakimbele front flani hivi loh.Tena advanced diploma, lakini wizara anayeiongoza ni lulu na tunu na tegemeo la watu wengi, ila ndio hivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuhusu kudumu bungeni, hakna mama mafia km yule muone vile vile, mie ni mbunge wangu yule, namfaham kiukaribu fulani hivi.
Wewe hujielewi kwahyo kukitoa Moshi ndo kutafanya huko kwingine kupige hatua, acha wivu wa kijinga badala muongeze vyuo viwe vingi zaidi kikanda nyie mnawaza kupunguza maendeleo mazuri yanatakiwa yawe kote sio kunyang'anya hichi peleka kuleKwa hiyo unaona sawa mikoa mingine kutokua na taasisi za umma. Chuo Cha Wanyamapori Ushirika, FITI na makumi zaidi Moshi. Mikoa mingine inachekwa tu.
Dah wewe una akili za kijiwe jiwe hivi lohWapi. Zama zimechenji mzee zama za kurundika taasisi za umma Moshi zimeisha. Sasa ni zama za even development. Njombe inaongoza kwa mistu East Africa lakini wajanja wakapeleka chuo kwao.
Tulia wewe. Serikali imeona hakuna hitaji la kupanua chuo husika kwa Sasa bali kurelocate period.Wewe hujielewi kwahyo kukitoa Moshi ndo kutafanya huko kwingine kupige hatua, acha wivu wa kijinga badala muongeze vyuo viwe vingi zaidi kikanda nyie mnawaza kupunguza maendeleo mazuri yanatakiwa yawe kote sio kunyang'anya hichi peleka kule
Hicho kimkoa hakuna ardhi,vyuo viende kwenye utaliiKwahiyo na vyuo vya wanyamapori kama pasiansi na mweka vilivyoko chini ya hiyo wizara vihamie serengeti.Punguza uzwazwa.Msitu unaweza kuanzishwa popote penye ardhi.
kimkoa gani hakina ardhi?Hicho kimkoa hakuna ardhi,vyuo viende kwenye utalii
Kabisa, unajua sometimes unawaza yani hata Rais Samia akifukuza hawa mawaziri atafukuza wangapi?Mkuu jaji mfawidhi ,mwandishi wa hii makala amepangilia hoja zake vizuri sana. Kongole kwake.
Ni uwendawazimu kuhamisha taasisi kwa sababu zozote zile kati ya hizo alizozitaja huyo wakili.
Kama anaona Mafinga ni sehemu muafaka kimkakati kuwa na chuo/taasisi hiyo, basi afungue tawi huko la hiyo taasisi.
Hicho chuo moshi kimejengwa kwa msaada wa SIDA/DANIDa, wa Denmark, kina wazungu wameweka mashine na mitambo toka 1975 na inafanya kazi mpaka leo, anakuja mtu na tope kichwani eti tuhamishe, na kipo pembezoni mwa reli ya Moshi -Dar kwaajili ya kusafirisha magogo na mazao mengine, sasa sijui huyu Ndumbaro anawaza kitu gani, kwakweli .Nchi hii bado ujinga wa jp unawasumbua. Ila basi chuo cha Moshi kibadilishwe makusudi yake iwe bora zaidi kwa manufaa makubwa zaidi ya wananchi kuna watu wana upeo mdogo badala ya kuboresha chuo wanakihamisha!
Mkuu PTER , kwa kweli kuna mengi sana ya kushangaa,lakini kwa kweli tumechoka kushangaa.Wafanye jambo la kushangaza mara ngapi ?
1. Wewe hujashangaa professor mwenye GPA ya 4.8 kuita chuo kikuu jalala ?
2. Wewe hukushangaa Dk wa sheria kutaka mtu asifunge ndoa bila cheti cha kuzaliwa.
3. Wewe hushangai Dk wa Sayansi ya siasa kusema atatumia dola kubaki madarakani na kusababisha maafa na vilema kwa watu wengi tu.
4. Wewe hushangai Dk wa uchumi kupandisha kodi ya mafuta halafu akashusha kodi kwenye bia kisa anataka kuboresha barabara za vijijini ?
5. Wewe hukushangaa Dk Kigwangalla a professional MD kuwa na msimamo A dhidi ya corona juu ya utawala wa jiwe na kuwa na msimamo B kwenye utawala wa sasa ?
6. Wewe hukushangaa Muhimbili kujenga banda la kujifukiza chini ya utawala uliopita baada ya hapo waliokwenda kujifukiza hapo wakiwemo wataalamu wa Afya kutaka livunjwe tupate chanjo ??
Kuna mengi ya kushangaza ila huwa hatutaki kushangaa tu yawezekana tumeshachoka kushangaa.
Ni wapuuzi wachache wanaofikiri kama mwendazake kwamba Moshi imeendelea sana na haihitaji maendeleo tena!Hicho chuo moshi kimejengwa kwa msaada wa SIDA/DANIDa, wa Denmark, kina wazungu wameweka mashine na mitambo toka 1975 na inafanya kazi mpaka leo, anakuja mtu na tope kichwani eti tuhamishe, na kipo pembezoni mwa reli ya Moshi -Dar kwaajili ya kusafirisha magogo na mazao mengine, sasa sijui huyu Ndumbaro anawaza kitu gani, kwakweli .
Mchawi wa elimu bongo sio Mungai pekee.Huyo ndio aliyeua elimu bongo Wala tusitafute mchawi
MATAGA na lile genge wana amini hivyo, tena wanasema hao wenzetu wa huko kaskazini wasubiri kwanza.Ni wapuuzi wachache wanaofikiri kama mwendazake kwamba Moshi imeendelea sana na haihitaji maendeleo tena!
Kwani kuhamisha hakuna taratibu!!??Kuanzisha kipya kuna taratibu zake, kuhamisha ni rahisi zaidi.