konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Tatizo humu hatujuani. Nilitaka nikutukane bonge la tusi lakini nikaogopa isije ikawa namtukana jiwe nikajikuta natafutwa kwa gharama yoyote. Ila mkuu sio poa, unataka kutuambia chanzo ya covid 19 inaua?
THE COVID-19 HIT THE WRONG TARGET
What does this suppose to mean in scenario like this?
People are dying!
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Za kuambiwa changanya na zakoCovid is real killing us very awkwardly
Wa Brazil ilibidi waombe poo. Ni baada ya kuibeza Corona.pole kwa familia.au ndo hiz chanjo wanazokimbilia!!hiz chanjo badala ya kuleta faraja,Sasa zimegeuka msiba.
Hii new strain from South Africa c mchezo, ndio inayotutafuna sasa.Muda wowote kuanzia kesho tutalajie kusikia mzeebaba akifanyia kazi kutoke kijijini Chato maana hii variant ya Africa kusini haina utani kabisa
Watu wnafanya masihara ila mkuu we potezaTatizo humu hatujuani. Nilitaka nikutukane bonge la tusi lakini nikaogopa isije ikawa namtukana jiwe nikajikuta natafutwa kwa gharama yoyote. Ila mkuu sio poa, unataka kutuambia chanzo ya covid 19 inaua?
Hii hata kama ni kweli siyo habari ya maana. Vaccines zote zinaweza sababisha reaction mbaya na hata kifo. Kuna watu wakitumia dawa jamii ya penicillin wanaweza kufa lakini Haimaanishi hizo dawa ni mbaya.
hizi habari mnazipenda kuziweka jf sijui mna tatizo gani siku hizi
"Mabeberu wanatuonea wivu sisi ni matajiri. Sasa wameanza kuturoga, mnaona?" alimaka yule mfalme maarufu wa ma-Zinjanthropus.Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA.
Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kwamba siku chache zilizopita, Dkt. Peter na Profesa Delphina walitoka Kilimanjaro kuwazika wazazi wawili (Mchungaji Kessy na mkewe) wa Profesa Delphina ambao nao vifo vyao vilifuatana.
Inadaiwa baada ya kurudi Morogoro hali ikuwa mbaya mpaka umauti unawakuta.
Mwenyezi Mungu aipe nguvu na faraja familia hii inayopitia majaribu haya yote.
Pia soma TANZIA - Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA) afariki dunia
SASA MNATAKA NINI KIFANYIKE?? TUSIBAKI TUNA TOA LAWAMA ZISIZO KUWA NA MASHIKO. KILA MARA TUMESHATAHADHALISHWA TUCHUKUE TAHADHARI KWA MAAMBUKIZI KWA KUWA TZ SIYO KISIWA. AU UNATAKA SERIKALI ISEME KUANZIA LEO KILA RAIA ABAKI KWAKE TUTAWALETEA MKATE WA KILA SIKU KWENYE MLANGO?? SEMA UNA TAKA NINI KIFANYIKE??? NYUMBU WEWE.Aiseee. Mungu atulinde jamani. Hali imekuwa tete sana jamani. Bila shaka yule saizi yupo happy anashushia na kapepsi barid akiona wananchi wake tunateseka[emoji25][emoji25][emoji25]
Juzi imeua mme wa .... Aliyewahi kuhudimia katika baraza la mawaziri awamu ya J.K hii kitu inapiga hasa.Stay online..
Samahani