Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

Serikali iseme alipo huyu Mzee kama mgonjwa wananchi wamfanyie Dua apone nchi hii muda mwingine unaficha jambo utadhani ni hekima

Ujinga tu
 
Hata wakati wa Jiwe alitolewa kwenye oxygen na kuletwa kwa Waandishi wa habari , alikuwa anakohoa kila baada ya sekunde 2 kiasi cha kushindwa kueleweka alichokuwa anaongea (video yake imo humu jf)
Huyo uliyemtaja angekuwa ni baba yako ungeandika kuwa alitolewa kwenye oxygen na kwamba alikuwa anakohoa Kila baada ya sekunde mbili kiasi Cha kushindwa kueleweka ?!?! Stupid to the core
 
We fala nini? Utamuombeaje uponyaji mtu ambaye haumwi?
Hizi pombe za mataputapu ni shida katika ubongo!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huwa nawasikia watu wakisema "wakati wa amani ndiyo wakati wa kujiweka sawa...."
Sehemu fulani Biblia imeandikwa "ombeni mvua wakati wa masika "
 
Huwa nawasikia watu wakisema "wakati wa amani ndiyo wakati wa kujiweka sawa...."
Sehemu fulani Biblia imeandikwa "ombeni mvua wakati wa masika "
Usisome Biblia kama novel ya James Hadley Chase utaishia kupotoka kama hivi.
Ulitaka aombewe "uponyaji" wakati haumwi? Kisa umekariri mstari usemao "ombeni mvua wakati wa masika"?
 
aliyesema hiyo kauli ni katelefoni au mtu mwingine. kipindi kile walisema yupo anatusalimia, mzima wa afya. hata hivyo,namwombea mema apone kama anaumwa, na Mungu awe naye. uzima ni kitu cha thamani.
 
Ni kweli kabisa.
Lakini itakuwaje gharama walizotumia na nani atazibemba?
Je zipi adhari za kutofanya maadhimisho yao?

Je wakifanya huku ofisi ya VP ikituma mwakilishi italeta picha gani?
Hao waandaaji heri wange ahirisha kama uhakika wa mgeni rasmi hatakuwepo,inaweza kuleta taharuki kubwa zaidi.
 
Acha kupenda umbea, anaweza asiende na bado akawa mzima. Kuwa makini na hizo roho za kishetani unazoziendekeza, utatangulia wewe usipokuwa makini.
 
Acha kupenda umbea, anaweza asiende na bado akawa mzima. Kuwa makini na hizo roho za kishetani unazoziendekeza, utatangulia wewe usipokuwa makini.
Mkuu Deleted01 umbea wangu ni upi?
roho yangu ya kishetani ni ipi?

Kifo hakiepukiki kwa kila mwenye mwili, ni swala la muda.

Sifi hivi karibuni, kwa neema ya Mungu nitaishi nipate kuyasimulia matendo yake makuu na matukufu.
 
Naanda kasuti kangu alikonipa babu yetu wa Mara baada ya kuchekwa eti vishikizo vinapishana! Asipotokea nitamuwakilisha.
 
Bilashaka ulinzi utakua umeimarishwa sehemu ya tukio,anapotarajiwa kuja makamu,hii inaondoa uvumi usiokua na tija na unaoleta taharuki kwa ndugu,jamaa,marafiki na watanzania kwaujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…