Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kumbe corona ilitaka kumkoronoa
Huyu haaminiki hayo itakuwa kayatuingia hapohapo kwani nani kathibitisha hiyo msg kweli imetoka kwa Mpango?Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Mpango aliyelazwa Dodoma amesema, "Mhe Rais, naendelea vizuri na matibabu, naweza kula, na kufanya mazoezi ya kifua. Walionizushia kifo mitandaoni jana nimewasamehe kwenye sala ya jioni".
Rais Magufuli amewaonya "walioniua Mpango" huko tweeter.
My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
unaongea as if wewe umekata inshwarensi kwmaba huwez kuugua au kujitia keyboard waria hapa.Kwa hiyo ni kweli Dr. Mpango amelazwa? Na sasa kaanza kufanya “mazoezi ya kifua” baada ya ile changamoto ya kupumua kupata nafuu kiasi?
Tutafunguka taratibu tu. Facts and figures never lie...
Kifo kipo tu hata kama hukuzushiwaMungu ni mwema!
Ukiwa na akili timamu unatakiwa ujiulize, kwanini watanzania tumeanza kuombea vifo na mabaya mengine ilihali haikuwa utamaduni wetu? nani amefufikisha kwenye hii hali mbaya ya chuki na visasi? jibu ni moja tu kuna kundi la wachache wanajiona wao ndiyo wenye hati miliki na nchi hiii na wengine ni waimbiki, mtawala unapokuwa mbaguzi matokeo yake ndiyo haya ya chuki na visasi. Kiongozi ni kuonyesha njia na siyo kuwa mbaguzi wa namna yoyote ile.unaongea as if wewe umekata inshwarensi kwmaba huwez kuugua au kujitia keyboard waria hapa.
nashangaa sana humu kuagiza flan afe mbona flan hafi.mauti yapo tu kwa kila mtu huwez kumpangia mtu afe kwa utashi wako wa kisiasa.
anaweza kuumwa kama tunavooumwa mim au wewe au mwingine na yyte anaweza kufa mnaleta siasa
Kuna uzi ulipandishwa jana hapa ukiulizia baadhi ya viongozi akiwepo huyo bwana mkubwaIla kumbe yuko kitandani! Mungu amponye
Anatakiwa ajitafakari sn kwanini watu wamuzushie mabaya kwanini isiwe JK, Mkuchika au Anthony Mtaka?Mungu ampe unafuu na kumrudishia busara na uwezo wa kuona machungu ya Watanzania wanaodhulumiwa Mali na fedha zao kwa kisingizio Cha kukusanya kodi na mapato ya serikali.
Pia amuongoze vyema katika kuidhinisha matumizi ya serikali yanayozingatia uaminifu na kufuata Sheria na taratibu sahihi
Mkuu uliwahi kuona wapi pembe la ng'ombe linajificha?Kwa hiyo ni kweli Dr. Mpango amelazwa? Na sasa kaanza kufanya “mazoezi ya kifua” baada ya ile changamoto ya kupumua kupata nafuu kiasi?
Tutafunguka taratibu tu. Facts and figures never lie...
Subiri kuna siku atatutangazia na cha kwakoKigogo ni mpuuzi sana
Ameingilia dirishani
Leo sikumuona hata yule mzee wa kutembeza bakora jimboni kwaoDuu bado wale wengine hawajasema walipo
Umeonaeeeee?Ujumbe!!! Nilijua wamemuonyesha kwenye TV hakika huyu mtu tia maji tia maji
Ni jambo la kushukuru kuwa tumefahamishwa hadi sasa anaweza kuandika ujumbeby the way hatukujua kama anaumwa!