Tena wa hovyo kabisaKigogo ni mpuuzi sana
Tena wa hovyo kabisaKigogo ni mpuuzi sana
Nilijua yupo mezaniUlijua yupo kitandani?
Wacha ujingaSo what
Bila kigogo usingejua kama Mpango kalazwa hata hiyo sms rais asingeisoma.Kigogo ni mpuuzi sana
bungeni ametafutwa haonekani. Kigogo akaamua ku.. concludeKigogo ni mpuuzi sana
Kabisa,maana hakuna aliyethibitisha kuwa hicho alichosoma ni sms toka kwa mpango, na huyo jamaa sio mkweli.Huyu haaminiki hayo itakuwa kayatuingia hapohapo kwani nani kathibitisha hiyo msg kweli imetoka kwa Mpango?
Halifichwagi. Ni sawa ma Cholera au Corona..Mkuu uliwahi kuona wapi pembe la ng'ombe linajificha?
Acha ufala wewe. Nani kaagiza flani afe?unaongea as if wewe umekata inshwarensi kwmaba huwez kuugua au kujitia keyboard waria hapa.
nashangaa sana humu kuagiza flan afe mbona flan hafi.mauti yapo tu kwa kila mtu huwez kumpangia mtu afe kwa utashi wako wa kisiasa.
anaweza kuumwa kama tunavooumwa mim au wewe au mwingine na yyte anaweza kufa mnaleta siasa
Mbowe umemuona?Leo sikumuona hata yule mzee wa kutembeza bakora jimboni kwao
Kwani anaumwa?Hata sisi tumekusamehe ugua pole.
Mpuuzi kuliko weweKigogo ni mpuuzi sana
Utajua upuuzi wake siku ukusikia nae yuko horizontalKigogo ni mpuuzi sana
Sijui supika ana hali gani maana toka jana haonekaniMazoezi ya kifua yanafanywa sana kwa Patients wanaorecover Covid19. Hongera sana Mpango kwa kuishinda Covid 19.
Umeonaeeeee?Halifichwagi. Ni sawa ma Cholera au Corona..
Ni kweli. Nae atakuwa horizontal siku mojaUtajua upuuzi wake siku ukusikia nae yuko horizontal