Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Hakika Waziri ameonyesha dhahiri ule mstari " Sitakufa bali nitaishi....... wanazengwe malizieni
Mungu aendelee kumlinda Rasi wetu
 
Kigogo ni mpuuzi sana
IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Leo sikumuona hata yule mzee wa kutembeza bakora jimboni kwao

Mkuu kila mtu anajijua yupo katika kundi lipi.

Atakuwa kama kina sisi kajilockdown.

Haya ya kujimwambafy kumsubiria jiwe hayalipi!

Ikumbukwe kila mtu na lwake kuhusiana na gonjwa hili ni sera rasmi ya serikali ya awamu ya 5.
 
Ni vyema kama imani yake ni Imara namna hiyo na ni vema zaidi Kama huyo Yesu amehusika na uponyaji wake, lakini kama ni empty words afanye mazoezi ya kifua zaidi,
 
Mwenye data atuwekee hapa waliozaliwa Tanzania leo/jana ni wangapi na waliokufa ni wangapi?
 
Mkuu kila anajijua yupo katika kundi lipi.

Atakuwa kama kina sisi kajilockdown.

Haya ya kujimwambafy kumsubiria jiwe hayalipi.

Ikumbukwe kila mtu na lwake kuhusiana na gonjwa hili ni sera rasmi ya awamu ya 5.
Hakika kila mtu ajiangalie mwenyewe
 
Hawa watu walikuwa kwenye nafasi za maamuzi. Siyo average citizens-walikuwa na dhamana ya nafasi kubwa! wangeweza kushape response ya taifa letu kwenye hili janga.

Huyu Mh. mara nyingi ameonekana hata hana barakoa! Leo tunaletewa nonsense eti kifo ni mpango wa Mungu! kuna kifo cha kawaida ambacho wote tunakisubiri. Lakini kuna vifo vya uzembe na kutojali. Kinachoendelea hapa kwetu ni vifo vinavyochangiwa na kutojali na uzembe. Viongozi wakubwa kama hawa wana la kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.

Namuombea afike huko Mbinguni akutane na Mungu amuulize alifanya nini kwa nafasi yake kuwakinga raia wenzake
Itoshe tu kusema kuwa paragraph ya mwisho ulitabiri kifo cha mwendazake
 
Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.

Nukuu

''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na ninafanya mazoezi ya kifua, wanaonizushia kifo niliwaombea msamaha kwa Yesu wakati wa sala ya jioni jana

Mheshimiwa Rais, Mungu akubariki na akupe Neema ya ujasiri zaidi katika kuliongoza Taifa letu katika wimbi hili, naungana na wewe na familia katika maombolezo ya kifo cha mpendwa wetu Balozi kijazi''. - Mwisho wa nukuu


Rais Magufuli amewaonya "walioniua Mpango" huko tweeter.

My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
Kataa kubali, lakini DR Philip Mpango bado hajatengamaa kiafya. Yale mamitungi ya gesi aliyowwkewa kumponya hayajamuacha salama. Yamemwongezea udhaifu.

Tuombe tu hili wimbi la Omicron limpitie mbali
 
Back
Top Bottom