Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Wewe mwenyewe ni mchawiHivi mtaacha lini uchawi?
Wewe mwenyewe ni mchawiHivi mtaacha lini uchawi?
Kigagula kabisaMchawi aliyekunyonyesha
😀😀😀Apone vipi tena jamaniii [emoji26]mitandao imepoa sanaaa
We are not kids...anatudanganya tusijikinge wakati yeye kwa kutumia Kodi zetu kawekewa mavifaa ya Kinga kila kona
Kweli kabisa..Mzee wa watu yupo shambani analima alafu Kigogo eti yupo Hospital.. Yaani huyu dadaKigogo ni mpuuzi sana
Hapa tu ndio serikali inashindwa kwenda na wakati, kwanini hawajifunzi nchi zingine uwazi? hawa ni viongozi na watu lazima waambie ukweli. kiongozi yoyote kapatwa na lolote lisemwe hadharani kwa haraka kabla umbea kuanza maana hata uwongo utaonekana kama ukweli sababu nyinyi kwenu kila kitu siri. Siri ukija kuwa raia wa kawaida kiongozi ni public hakuna siri. Uwazi ni muhimu sana hata wambea hawatapa jipya la kuongea. sio aibu mtu kuumwa na mkiwa wa wazi hata watu watawaombea wanaowapenda.Kwa hiyo ni kweli Dr. Mpango amelazwa? Na sasa kaanza kufanya “mazoezi ya kifua” baada ya ile changamoto ya kupumua kupata nafuu kiasi?
Tutafunguka taratibu tu. Facts and figures never lie.
Salamu zimepita kwa mkewe 🤣 🤣 🤣Huyu haaminiki hayo itakuwa kayatuingia hapohapo kwani nani kathibitisha hiyo msg kweli imetoka kwa Mpango?
Hata Maalimu alituma msg naendelea vizuri... baadaye watakuja kusema hali ya mgonjwa ilibadilika ghafla siku ya pili yake! Kwa kucheza na maneno hawajambo.
Na yule akiongea anatoa macho kama kakabwa kuna mtu kamuona kweliToka jana haonekani huyu
Kaonekana France huko ila alikuwa amevaa tangawizi, limao na sufuria la kujifukiza mdomoniNa yule akiongea anatoa macho kama kakabwa kuna mtu kamuona kweli
Wasiwe wanaficha wanapoumwa.My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
Hata maalim Seif alikuwa anaendelea vizuri ghafla mambo yakabadilika. Muhimu ni kuzidisha maombi ti hizo ngonjera zitakuponzaaaaa
Hayo mazoezi ya Kifua, kwani kina matatizo gani?Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Nukuu
''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na ninafanya mazoezi ya kifua, wanaonizushia kifo niliwaombea msamaha kwa Yesu wakati wa sala ya jioni jana
Mheshimiwa Rais, Mungu akubariki na akupe Neema ya ujasiri zaidi katika kuliongoza Taifa letu katika wimbi hili, naungana na wewe na familia katika maombolezo ya kifo cha mpendwa wetu Balozi kijazi''. - Mwisho wa nukuu
Rais Magufuli amewaonya "walioniua Mpango" huko tweeter.
My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
Na kwa kweli nakuomba mpango uendelee kufanya mazoezi kwa nguvu zote. Hiyo ndiyo tiba halisi. Achana na hayo mazingaombwe ya JIWE. Halafu mjiulize, hivi ni kwa nini watu hawawatakii mema?Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Nukuu
''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na ninafanya mazoezi ya kifua, wanaonizushia kifo niliwaombea msamaha kwa Yesu wakati wa sala ya jioni jana
Mheshimiwa Rais, Mungu akubariki na akupe Neema ya ujasiri zaidi katika kuliongoza Taifa letu katika wimbi hili, naungana na wewe na familia katika maombolezo ya kifo cha mpendwa wetu Balozi kijazi''. - Mwisho wa nukuu
Rais Magufuli amewaonya "walioniua Mpango" huko tweeter.
My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
Unauliza jibu? Hujasoma hapo kwamba anafanya mazoezi ya Kifua?Anaumwa ugonjwa gani?
Au ni huo huo wa:
'Changamoto ya kupumua'?
Abarikiwe apone mapema. Ila amesema "wimbi",wimbi gani hili?Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Nukuu
''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na ninafanya mazoezi ya kifua, wanaonizushia kifo niliwaombea msamaha kwa Yesu wakati wa sala ya jioni jana
Mheshimiwa Rais, Mungu akubariki na akupe Neema ya ujasiri zaidi katika kuliongoza Taifa letu katika wimbi hili, naungana na wewe na familia katika maombolezo ya kifo cha mpendwa wetu Balozi kijazi''. - Mwisho wa nukuu
Rais Magufuli amewaonya "walioniua Mpango" huko tweeter.
My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
Kigogo ni mpuuzi sana
Hawa walitakiwa kuanza kujibu hapahapa duniani. Ni basi tu!Viongozi wakubwa kama hawa wana la kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.