ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,859
There is a very thin line between life and death!
Pote la mbali naongelea uzoefu wanguUna nyota ya uchawi wewe si bure
Mungu atamponya tu. Tusiwe na wasiwasi..Dr.Mpango ni mzima kwa maana hajafa.
..lakini ni mgonjwa na ndio maana ili kuwasiliana naye inabidi utume ujumbe kwa mke wake.
Maconcubine wa jiwe mnakazi sana mnawashwawashwa sana .Kigogo ni mpuuzi sana
Sasa huyo kima anataka Magufuli afanyaje?
Mungu atamponya tu. Tusiwe na wasiwasi
Hao wazushi walitakiwa waseme Dr mpango ni mgonjwa, sio amekufa kama walivyosema..Dr.Mpango ni mzima kwa maana hajafa.
..lakini ni mgonjwa na ndio maana ili kuwasiliana naye inabidi utume ujumbe kwa mke wake.
mwneyez mungu hapangiwi. najua na wote tunasom nyuz humu kila siku na laiti ingekua dua za watu humu kutakia flan afe zinapasishwa sidhan kama angebak mtu.Acha ufala wewe. Nani kaagiza flani afe?
Familia yake walijua kua anaumwa, nafkiri ilitosha.Mbona taarifa ya kuugua hatujaipata badala yake unakuja ujumbe wa kukanusha kifo, basi ugua pole Mh. Mpango bado tunakutegemea kunyoosha uchumi...
Hao wazushi walitakiwa waseme Dr mpango ni mgonjwa, sio amekufa kama walivyosema
Walichokifanya hakipaswi kuungwa mkono.
-Mtu akikalibia kufa hapo kwako hua unatangaza kwamba amekufa?..alikaribia kufa kwa korona.
..mbona hakukanusha wakati wote anazushiwa kifo?
..mbaya wa Dr.Mpango ni bosi wake aliyemzuia kujikinga na ugonjwa huu wa hatari.
even if. so ,that is first citizen.every thing will be done to protect .We are not kids...anatudanganya tusijikinge wakati yeye kwa kutumia Kodi zetu kawekewa mavifaa ya Kinga kila kona
Ukishaugua Corona hauugui tena maisha yako yote. Huo ndiyo uzuri wake...Na akitoka hospitali achukue tahadhari na ugonjwa wa korona asije akaambukizwa tena.
Ukishaugua Corona hauugui tena maisha yako yote. Huo ndiyo uzuri wake.
-Mtu akikalibia kufa hapo kwako hua unatangaza kwamba amekufa?
-kukaa kimya kwa jambo la uongo ni busara, maana ukweli ungejidhihirisha tu
-Hakuna siku Magufuri alikatalia watu kujikinga mzee.
-Hili la kutochukua tahadhari sidhani kama ni kweli, anachokifanya Magufuri ni kuwapa watu ujasiri(kwamba huu ugonjwa upo, lakini hatutakiwi kuuogopa)..sio busara kukaa kimya na kuacha uongo uenee.
..Magufuli amekuwa akichochea watu wasichukue tahadhari kujikinga na covid19.
..pia yeye kama Kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano ktk kuchukua tahadhari na ugonjwa huu mbaya.