Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

..mimi kuna mtu kaniambia ameambukizwa corona zaidi ya mara moja.

..namshauri Dr.Mpango akitoka hospitali awe muangalifu na corona, asikubali tena kupotoshwa na Magufuli.

Can you be reinfected with COVID-19?

Cases of reinfection of COVID-19 have been reported but are rare. In general, reinfection means a person was infected (got sick) once, recovered, and then later became infected again. Based on what we know from similar viruses, some reinfections are expected.
Kwa hili tuko pamoja, hapa uko sahihi.
 
-Hili la kutochukua tahadhari sidhani kama ni kweli, anachokifanya Magufuri ni kuwapa watu ujasiri(kwamba huu ugonjwa upo, lakini hatutakiwi kuuogopa)
Anatoa na hatua za kufuata japo wengi hawazikubali(malimao, tangawizi, vitunguu swaumu na kujifukiza)

-kumbuka hofu hupunguza kinga ya mwili

..huu ugonjwa ukishaingia na kusambaa nchini kwako kuudhibiti ni vigumu.

..MAKOSA aliyoyafanya Magufuli kama Raisi ni kutohimiza hatua za tahadhari baada ya Tz kukwepa ile wave ya kwanza ya maambukizi.

..tungekuwa makini kipindi cha miezi minne au mitatu nyuma tungeweza kuepuka maambukizi na vifo vinavyotokea sasa hivi.

..kuna kipindi serikali ilikuwa inafanya MAJIGAMBO kwamba Corona ipo kwa majirani zetu tu, huku Tanzania tuko salama.
 
Tunakufa binadamu, ila simu hazifagi...wanatumia walio hai. Hongera kwke
 
Nimekulewa JokaKuu
 
Kama hakushiriki kwenye kudhulumu kura za watanzania namwombea kwa Mungu apone haraka Ila Kama Ni mshirika kwenye dhuluma hiyo namwachia Mungu wa Haki amtendee kadri yeye alivotutendea sisi wenziwe.
Mkuu, imeandikwa "Wapendeni adui zenu,waombeeni wanaowaudhi".
 
Kwahyo kumbe Dr Mpango nikweli amelazwa sababu ya changamoto ya kupumua? Naona amepata nafuu na sasa hatumii tena ventilator
 
-Hili la kutochukua tahadhari sidhani kama ni kweli, anachokifanya Magufuri ni kuwapa watu ujasiri(kwamba huu ugonjwa upo, lakini hatutakiwi kuuogopa)
Anatoa na hatua za kufuata japo wengi hawazikubali(malimao, tangawizi, vitunguu swaumu na kujifukiza)

-kumbuka hofu hupunguza kinga ya mwili
Kusema ugonjwa hautakiwi kuogopwa ni sawa na kusema akili zako hazina tofauti na za punda. Usiogope ugonjwa kwa vipi? Unaanisha ujipeleke tu bila kuchukuwa tahadhari? Mbona magojwa mwengine watu wanachukuwa tahadhari? Kweli uongozi umevamiwa
 
We ni mwehu nakufahamu.
 
Get well soon Dr Mpango. Nilipoona ile tanzia fake nilifadhaika sana.
 
even if. so ,that is first citizen.every thing will be done to protect .
lazima tumkinge kiobgoz ndio mana akawa kiongoz dhara kwake moja ni dhara kwneu milions.ndio mana ukaona special team wale wapo tyari kufa.ukiwa mjinga ni vizuri ukawa unauliz kuliko kukimbilia kubwata bwata ujinga
Kwa hiyo kwa Kuwa yeye Ni first citizen sidmsi wengine tusijilinde japo hata kwa barakoa tu!!! Hatuna shida na yeye kulindwa au kujilinda, Ni haki yake kikatiba, shida yetu kwa Nini anasema watu wasivae barakoa Tena anaziita mabarakoa Mara mavitambara!!! Wakati yeye ana jukumu na wajibu wa kikatiba kutulinda sisi kwa kutoa uongoz sahihi?
 
Mkuu, imeandikwa "Wapendeni adui zenu,waombeeni wanaowaudhi".
Mkuu wajua ukichukulia kijuujuu kila mstari mmoja wa biblia unaweza kuanzisha dhehebu!!

Kwan hujasoma biblia hiyo hiyo kuwa auwaye kwa upanga Naye atauliwa kwa upanga?!!!
 
Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.

Nukuu

''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na ninafanya mazoezi ya kifua, wanaonizushia kifo niliwaombea msamaha kwa Yesu wakati wa sala ya jioni jana

Mheshimiwa Rais, Mungu akubariki na akupe Neema ya ujasiri zaidi katika kuliongoza Taifa letu katika wimbi hili, naungana na wewe na familia katika maombolezo ya kifo cha mpendwa wetu Balozi kijazi''. - Mwisho wa nukuu

Rais Magufuli amewaonya "walioniua Mpango" huko tweeter.

My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
Amewaombea msamaha kwa Yesu au kwa Mungu? Hivi kwani watu wakifanya dhambi wanamkosea Yesu au wanamkosea Mungu? Maana nijuavyo mimi Yesu mwenyewe anamuomba Mungu.
 
Back
Top Bottom