mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,468
- 6,022
Anafanya"mazoezi ya kifua" Kupumua?Anaumwa ugonjwa gani?
Au ni huo huo wa:
'Changamoto ya kupumua'?
Anafanya"mazoezi ya kifua" Kupumua?Anaumwa ugonjwa gani?
Au ni huo huo wa:
'Changamoto ya kupumua'?
Chanjo ya mchina waliojidunga kwa kificho ndo inawamaliza hao viongozi. Ile ziara ya mchina ilikuwa sio ya burebure☹️.Tuendeleeni kujikinga.Kigogo haijawahi kosea kumbe yuko ICU, pole kwake.
Jiwe ndio alipaswa kunaswa but unfortunately watu makatili ndio hudumu duniani
Ukweli ni kwamba anaumwa corona hilo amethibitisha kupitia huo ujumbeKigogo ni mpuuzi sana
Hivi mtaacha lini uchawi?Ugonjwa upo na Ndugai inaonesha ni mgonjwa
Mchawi aliyekunyonyeshaHivi mtaacha lini uchawi?
Kama hakushiriki kwenye kudhulumu kura za watanzania namwombea kwa Mungu apone haraka Ila Kama Ni mshirika kwenye dhuluma hiyo namwachia Mungu wa Haki amtendee kadri yeye alivotutendea sisi wenziwe.Kwani alikukosea nini???.
Anafanya mazoezi ya 'kifua'. Atakuwa anatumia dumbbellsAnaumwa ugonjwa gani?
Au ni huo huo wa:
'Changamoto ya kupumua'?
Kigogo ni wakala wa shetani. Nasitutamkemea kwa jina la Yesu alie hai, na atafutika haraka saaanaaKigogo ni mpuuzi sana
Apone vipi tena jamaniii [emoji26]mitandao imepoa sanaaaKama hakushiriki kwenye kudhulumu kura za watanzania namwombea kwa Mungu apone haraka Ila Kama Ni mshirika kwenye dhuluma hiyo namwachia Mungu wa Haki amtendee kadri yeye alivotutendea sisi wenziwe.
Nimeamini mkuuMlemle tu itakuwa ila ngoja tuvute subira muda utaongea tu
Utalii wa ndaniKama ni mzima hosp unafanya nini?
safari ya mbali [emoji3][emoji3][emoji3]Nimezusha nini [emoji2369]! kwani wewe hukumsikia Naibu wa subwoofer akisema kuwa Subwoofer yupo safari ya mbali, hujiulizi safari ya mbali ipi hiyo. Za kuambiwa.....
Eti safari ya mbaaali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana yupo sayariniNimezusha nini [emoji2369]! kwani wewe hukumsikia Naibu wa subwoofer akisema kuwa Subwoofer yupo safari ya mbali, hujiulizi safari ya mbali ipi hiyo. Za kuambiwa.....
Kama ni Disco basi kaingia mmasaiMaji yamekorogeka